Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

Fikeni fainali acheni taarabu
 
Tabu iko pale pale. TABULELE ......................LAAAAAAAAAAA
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Hiki ndo kinanifanya niwakubali mashabiki wa Tanzania. Kikiwa Kwa mwenzako kibovu kikija kwako kizuri. Simba Leo wa kusifia Shirikisho waliloliita Kombe la Losers?
Alieita loser ni Manara wakati Simba wakishiriki. Baada ya Yanga kushiriki ni kama walikuwa wakiwakumbusha Kauli ya Manara.
 
Simba kama kweli yupo serious shirikisho akafike fainali.

Kama hasipofika fainali atakuwa failure tena na tena.

Maana azam wapo serious siku hizi
Azam anaenda kubutuliwa raundi ya kwanza tu. Kwenye mbio hizo hata Namungo anaizidi Azam.
 
Nadhani sasa mnanielewa nilichosema. Hii mechi dhidi ya Al Ahli ina hadhi zote za CAF hata katika level ya robo fainali. Kule kwingine sasa.....
 
Nadhani sasa mnanielewa nilichosema. Hii mechi dhidi ya Al Ahli ina hadhi zote za CAF hata katika level ya robo fainali. Kule kwingine sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…