Simba inaendelea kudhihirisha ubora wake katika Mashindano ya CAF

Wanaanza kukushambulia, utopolo wana Roho mbaya goli 6 wanazisikia tu hawajawahi kuzifunga kwenye haya mashindano😃
 
So far Tanzania hakuna timu bora kwenye mashindano ya CAF ngazi ya Vilabu ndo maana ranking za hizi timu zinabadilika kila msimu kuonesha kua kitu pekee cha kujivunia ambacho hakiwezi kupanda wala kushuka ni kubeba kombe tu. Ndo maana Raja, Wydad na TP Mazembe kwenye ranks wako mbali huko lakini wote hao wana ndoo 3 na kuendelea za CAF utawaambia nini? Sisi tumebaki kuringishiana ujinga tu sijui robo fainali 5 sijui kufika fainali, sijui nani anaongoza kwa magoli CAF ujinga ujinga tu
 
Siku CCM inatoka madarakani Na yanga inashuka daraja..Simba Na Azam watakuwa watani wa jadi
 
Huu ndio ulikuwa mtizamo wangu baada ya mechi ya awali kule Malawi. Leo nimeiona Simba ya tofauti kabisa ambayo imeondoa hayo mapungufu almost karibu yote.

Kilichobaki sasa Simba mnipe ajira kwenye benchi lenu la ufundi.
 
Might Wonders wapo nafasi ya ngapi ili tupime huo ubora
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Timu za Bongo kata stimu sana. Hapo ukimbana vizuri kuhusu mafanikio atakuambia Robo Fainali.

Kama sisi tunaonyesha ubora hao kina Mamelodi, Ahly,Pyramid, Esperance wanaonyesha nini?
 
Umeandika kwa hasira sana.Hata fainali ya shirikisho haukuiona wala haukumbuki kwa hasira tu?Ni 6-1!
 
Timu za Bongo kata stimu sana. Hapo ukimbana vizuri kuhusu mafanikio atakuambia Robo Fainali.

Kama sisi tunaonyesha ubora hao kina Mamelodi, Ahly,Pyramid, Esperance wanaonyesha nini?
Haibadilishi ukweli kwamba Simba ndiyo liwazo la Tanzania.6-1, brother!
 
Yaani mtu kashasema timu bora tanzania ngazi ya CAF halafu watu wanakaza mafuvu kusema kina mamelod pramidi kwani wapo tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…