Simba inafikiria kugomea kupeleka timu siku ya ngao ya hisani

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Kutokana na FIFA kuchelewesha majibu ya ponti 3 Simba inazodai,zikiwa hazija fika hadi siku hio hawato peleka timu uanjani.Kwani kwa kufanya hivyo ni kukubali moja kwa moja kama Yanga ndo mabingwa na hivyo ombi lao FIFA kutupiliwa mbali na wao kuendelea kuwa mambumbumbu kama Rage alivyo waita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haya ndiyo madhara ya Kuvuta Bangi / Bange iliyochanganywa na Kinyesi cha Mwendawazimu aliyeshindia Kiporo.
 
Sasa usajili wa timu nzima walifanya wa nini?
Wameona mziki wa jana sio mchezo, waache visingizio hakuna ushindi utolewao na FIFA
usiwe na akili za kutokujiongeza hkn k2 kama hcho na jana kuna mzki gan ulioneshwa pale zaid ya bahati kuwa upnd wenu
 
Lazima wakimbie tu maana siku hizi ni watu wa sababu. Hebu fikiria kiongozi anasema TFF viongozi ni kabila MOJA. Kiongozi kama huyo atakosa kugomea mechi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila kiuhalisia hii mada ina ukweli fulani,yaani hata hawakupokea medali za ushindi wa pili,pia rufaa ya simba toka FIFA haijapata majibu ,yaani haya mambo yanahitaji ujasiri hasa
 
usiwe na akili za kutokujiongeza hkn k2 kama hcho na jana kuna mzki gan ulioneshwa pale zaid ya bahati kuwa upnd wenu
Si unataka kulazima basi sawa "umechecki jana bahati ilivyokua kubwa kwa Dar Young Africa" umefurahi sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa simba ni MANYUMBU sijawahi ona...


niliwahi anzisha uzi humu, niiuliza kama Simba itacheza na nani kwenye mchezo wa ngao ya hisani ikiwa mpaka leo hii kuanzia viongozi wao mpaka mashabiki hawamtambui YANGA SC kama bingwa wa msimu uliopita?


Kumbe na wao kama mademu tu, ukimtongoza anakataa lakini ukiongeza jitihada anakupeleka ghetto yeye mwenyewe. Hahahah
 
Hata NDOO 27 za Ubingwa za Yanga SC mtaziita bahati nazo....
 
Hata ligi kuu pia asusie maana haiwezekani ligi iliyopita hujapewa ubingwa wako alafu unashiriki ligi mpya utawa upumbavu na ulofa uliotukuka.
 
Mkuu usisahau hawa Simbasaba kuna kiongozi wao Msomali aliwaita mbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakiingiza team uwanjani ntaamini kweli Simba mambumbumbu! Walikataa zawadi ya mshindi wa pili, leo wataipeleka team wacheze wakikubali kuwa washindi wa pili?... Manara sio wa kuwasemea watu wenye akili timamu.....
 
Hivi kuna jipya yanga walionyesha jana? Sgd united imewalinda ili msifedheheke munakuja kuropoka huku. Sasa kama sgd imewachezea mpira mkubwa namna hiyo,unadhani nini kitatokea mkikutana na simba?
 
usiwe na akili za kutokujiongeza hkn k2 kama hcho na jana kuna mzki gan ulioneshwa pale zaid ya bahati kuwa upnd wenu
Hahahaaa.. Eti bahati [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Mkuu ni ufundi tu hakuna bahati pale
 
Sema ukweli kukosa ubingwa na kuinamishwa na mtani wako pale Taifa kipi kinaleta maumivu makali kiasi ushindwe kuonekana mtaani kwa siku ya pili baada ya kuinamishwa . kipi kinamaumivu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanafanya sherehe za ubingwa nyie Birthday tarehe 8
 
Tumia angalau 05% tu ya akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…