Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

Sasa naona wewe umejiandaa kwenda kufanya fujo na kumbuka Segerea itakuhusu Sana.
 
Naweza sema ni kweli, ni kwasababu SIMBA kufungwa na YANGA ni aibu kubwa, ila yanga kufungwa na simba ni kawaida tu sawa na malaya alefumaniwa
 
Kwahiyo mkuu umeona kukimbilia kusema wewe ni azam ndio kutakuepusha na aibu hapo kesho dhidi ya mnyama
 
Ngoja yaje mamikia yakulee povu. Na yana povu la omo mamikia. Na humu ni mengi mamikia
 
UTOPOLO maana yake ni kitu kilicholegea mfano MLENDA.
 
Si ni mwaka jana tu tumewapiga goli 4-1 nyinyi? Au umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…