DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Nani kakwambia... Sowah kasajiliwa Simba?...Leo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC.
Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba inataka nini hasa na badala yake wanasajili na kuacha wachezaji tu ili waonekane wamefanya. Wachezaji kama Morris Abraham au Sowah siyo wa kuja kuikomboa Simba bali ni kuwaridhisha tu wanasimba ambao nao hawajui hata wanataka nini ila kwa kuwa wamewaona wanaona wachezaji wazuri.
Viongozi na mashabiki wa Simba wote wamepoteza kujiamini, hivi sasa timu inasajili tu ili kuondoa lawama.
Hauwezi kuwa mtu makini kwa kuwaacha kina Mavambo na Okejepha halafu unaenda kusajili sijui yule mwarabu wa Mombasa au yule Kantè ambao hawawazidi kiuwezo wale unaowaacha na pia wanaweza kuhitaji msimu mzima kuzoea ligi na mikikimikii ya mashindano ya ndani na nje, halafu baadae wakishazoea unawaacha. Wakati huo huo unabaki na Mutale na Kibu au kwa kuwa hawauziki?
Labda watuambie wameamua kuwa academy.
Kumbe mwana Simba angalau una jicho la tatu tofauti na mashabiki oya oya wengine,,unapomuacha mavambo,okajepha,Nouma,che malon,Ngoma unatakiwa uwalete wachezaji wanaowazidi ubora hao uliowatoa,,lakini unakwenda kumsajili bajaber Toka Kenya,,unamleta kante, sasa hao wanawazidi nini uliowatoa? Mpaka waje kuzoea na wao utawaondoa Tena ulete wengine sasa iyo ni timu ama ni academi?Leo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC.
Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba inataka nini hasa na badala yake wanasajili na kuacha wachezaji tu ili waonekane wamefanya. Wachezaji kama Morris Abraham au Sowah siyo wa kuja kuikomboa Simba bali ni kuwaridhisha tu wanasimba ambao nao hawajui hata wanataka nini ila kwa kuwa wamewaona wanaona wachezaji wazuri.
Viongozi na mashabiki wa Simba wote wamepoteza kujiamini, hivi sasa timu inasajili tu ili kuondoa lawama.
Hauwezi kuwa mtu makini kwa kuwaacha kina Mavambo na Okejepha halafu unaenda kusajili sijui yule mwarabu wa Mombasa au yule Kantè ambao hawawazidi kiuwezo wale unaowaacha na pia wanaweza kuhitaji msimu mzima kuzoea ligi na mikikimikii ya mashindano ya ndani na nje, halafu baadae wakishazoea unawaacha. Wakati huo huo unabaki na Mutale na Kibu au kwa kuwa hawauziki?
Labda watuambie wameamua kuwa academy.
Sitashangaa kama ni kweli. Kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Simba, sitashangaa kuona wanaacha wachezaji kwa tuhuma za kupoteza uaminifu halafu wanaenda kumchukua streka anayemuita Hersi baba yake. Mchezaji alikuwa na hasira na Simba hadi akawarushia mashabiki wake fimbo ya kibendera kama mkuki.Nani kakwambia... Sowah kasajiliwa Simba?...
Achana na wacha🦌
Veve nasema nini veve? Mimi nunua chezaji za mafungu veve.
Tangu lini mhindi akatoa pesa?
Sisi wahindi au Ponjoro tunajulikana kwa utapeli na kuchezesha kamari bila kusahau kuwatumikisha watu weusi kwa ujira mdogo.
Nahisi sasa hivi Simba imeamua kufanya biashara tu. Inatafuta wachezaji wasio na majina, inawapa uzoefu, inawakuza na kwa sababu ya profile ya Simba ni rahisi kupata timu za kuwanunua.Simba vituko kweli sasa yule msomali wa mombasa ndo wameona bora kuliko akina mavambo na okpeja! alafu unautaka ubingwa wa afrika?
Bila kuleta wachezaji wazoefu wasiopungua 2 au 3 walio na medali za CAF nitajua Simba haina mpango wa kufika hata nusu fainali ya CAF. Humu ndani Yanga wataendelea kutawala.MSimu huu wakisajili kijinga, uwanjani watakuwa wanaenda viongozi wa 5imba wa matawi.
Hatutaki kelele...mfyuuuLeo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC.
Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba inataka nini hasa na badala yake wanasajili na kuacha wachezaji tu ili waonekane wamefanya. Wachezaji kama Morris Abraham au Sowah siyo wa kuja kuikomboa Simba bali ni kuwaridhisha tu wanasimba ambao nao hawajui hata wanataka nini ila kwa kuwa wamewaona wanaona wachezaji wazuri.
Viongozi na mashabiki wa Simba wote wamepoteza kujiamini, hivi sasa timu inasajili tu ili kuondoa lawama.
Hauwezi kuwa mtu makini kwa kuwaacha kina Mavambo na Okejepha halafu unaenda kusajili sijui yule mwarabu wa Mombasa au yule Kantè ambao hawawazidi kiuwezo wale unaowaacha na pia wanaweza kuhitaji msimu mzima kuzoea ligi na mikikimikii ya mashindano ya ndani na nje, halafu baadae wakishazoea unawaacha. Wakati huo huo unabaki na Mutale na Kibu au kwa kuwa hawauziki?
Labda watuambie wameamua kuwa academy.
OkayNahisi sasa hivi Simba imeamua kufanya biashara tu. Inatafuta wachezaji wasio na majina, inawapa uzoefu, inawakuza na kwa sababu ya profile ya Simba ni rahisi kupata timu za kuwanunua.
Kwa hiyo tukubaliane kabisa, kwamba Sowah sio mchezaji mzuri, au sio?Sowah siyo wa kuja kuikomboa Simba bali ni kuwaridhisha tu wanasimba ambao nao hawajui hata wanataka nini ila kwa kuwa wamewaona wanaona wachezaji wazuri.
Hatutaki kelele...mfyuuu
Sisi mashabiki wa simba tuna imani kubwa na viongozi wetu. Mtoa mada apuuzwe.
Kwa hiyo tukubaliane kabisa, kwamba Sowah sio mchezaji mzuri, au sio?
Simba uzungu mwingi lakini ni wazi kuna shida kubwa mno pale. Kila msimu unaacha wachezaji kwa kisingizio cha usaliti, halafu leo unaenda kumchukua mchezaji ambaye ana viashiria vyote vya ukaribu usio wa kawaida na mpinzani wako mkubwa. Imeshatengenezwa sababu ya kushindwa baadae.Mangungu Mitano tena
Wewe wasema. Kuna watu huko mbagala maji matitu hata wakisikia kuna mechi ya mabata yaliovaa nguo za Simba na yanga wataenda na kushangilia upande wao. Hapa ndiyo ujinga wa watanzania ulipoMSimu huu wakisajili kijinga, uwanjani watakuwa wanaenda viongozi wa 5imba wa matawi.
HahahahahWewe wasema. Kuna watu huko mbagala maji matitu hata wakisikia kuna mechi ya mabata yaliovaa nguo za Simba na yanga wataenda na kushangilia upande wao. Hapa ndiyo ujinga wa watanzania ulipo
Amkeni nyie mashabiki wa Simba. Viongozi wenu wanawachezea tu. Kila msimu wanasajili na kufukuza wachezaji na makocha ila wao wanajiona wako sawa.Kwa hiyo tukubaliane kabisa, kwamba Sowah sio mchezaji mzuri, au sio?
Mangungu mitano tenaSisi mashabiki wa simba tuna imani kubwa na viongozi wetu. Mtoa mada apuuzwe.