Simba inakosea katika sajili zake kwa sababu imepoteza kujiamini

Kesho watakuja watasema Sowah ametumika kuwarubuni wachezaji wengine, watafukuza watasajili wengine maisha yataendelea.
Mbona kama vile unapiga ramli? Au macho yangu!
 
Nadhani mnaona siasa zinazoendelea huko mipirani.

Mara Sowah aliye na mkataba na Singida ameachiliwa BURE na Singida kwenda Simba kwa sababu eti Dewji kaongea vizuri na Mwigulu. Mara Feisal kakubali kila kitu, wakati huo huo Azam hawajakubali kumuuza (hivi kabla haujaongea na mchezaji, si inabidi kwanza klabu iridhie?).

Mipira umeingiliwa na masiasa. Kwa uzoefu wangu, ukiona drama za siasa zinakuwa nyingi kwa wakati mmoja, jua kuna jambo serious sana la kinchi linapitishwa kimya kimya au linafunikwa.

Poleni sana watanzania wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…