Tetesi: Simba inamnyemelea Aziz Ki

Ndio maana nikatoa maelezo juu kuwa Simba ilishindwana na dau alilotoa Aziz Ki ila Yanga wakafikiana muafaka na Aziz Ki kwa kufuata maslahi aliyohitaji. Vipi kwasasa mmeshajichanga changa, au somo limewaangia kuhusu thamani ya Aziz Ki?
 
Reactions: Tsh

Kama unakubali kuwa yupo Yanga kwa maslahi basi unajua kuwa anaweza kuwa pengine kwa hayo hayo maslahi. Thamani yake inapimwa na kiwango chake. Kwa sasa ipo juu.
 
Kama unakubali kuwa yupo Yanga kwa maslahi basi unajua kuwa anaweza kuwa pengine kwa hayo hayo maslahi. Thamani yake inapimwa na kiwango chake. Kwa sasa ipo juu.
Labda kwa waliozidi Yanga kifedha kama vile timu za Africa kusini na timu za kiarabu ila kwa Simba kwasasa sio rahisi.
 
Siyo kuvunjiwa mkataba,mkataba wako unaisha mwezi ujao mwishoni na dirisha dogo linafunguliwa,je simba wakimpa donge nono hawezi kukubali?
Kumpata huyo mwamba hata mkataba ukiisha hapatikani
 
Tangu niambiwe Wakala wa Aziz Ki ni mama yake lakini ni mwanaume siamini lolote toka Kwa waandishi.
 
Chanzo cha habari yako. au unatafuta umaarufu usio natija mkuu.
 
Simba haina mpango na Aziz Ki, ila watu wanaopenda attention na kiki ndo wanazusha hilo jambo
 
Simba wanajitekenya na kucheka....
Yenyeweee
Anayejitekenya na kucheka mwenyewe ni mleta mada, wewe umemsikia kiongozi gani wa Simba kathibitisha kwamba kweli wanamfukuzia Aziz Ki? Achana na utopolo hao wanawakumbushia 5G.
 
Hizo tetesi zinatengenezwa maksudi ila boss aingie king kwa mfanyakazi wake na aone ana thamani zilitengenezwa kwa zimbwe jr kwa mwamnyeto na Dickson job mikataba yao ilipokuwa inaelekea ukingoni kwa hyo ni kawaida swala la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…