Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza wewe kwanza.Acheni story za kutunga,nitajie wachezaji waliofunga hiyo 9-0 mi nitakuambia wa 6-0 na 5-0
Ndio maana nikatoa maelezo juu kuwa Simba ilishindwana na dau alilotoa Aziz Ki ila Yanga wakafikiana muafaka na Aziz Ki kwa kufuata maslahi aliyohitaji. Vipi kwasasa mmeshajichanga changa, au somo limewaangia kuhusu thamani ya Aziz Ki?Ni mara chache sana mchezaji atatanguliza uzalendo kabla ya maslahi esp hizi timu zetu za Africa. Uzalendo upo kwa mashabiki sio wachezaji. Suala ni nini kinawekwa mezani. Ukitaka kuamini atokee muarabu wa visima vya mafuta ainunue ihefu halafu atake kuwasajali kina max, aziz k na wengine.
Muda utaongeaMashabiki wa makolo
Wameanza kupambazwa tena
Aziz ki hawezi kucheza simba alishakataa toka awali
Mbumbumbu bhana
Kama unakubali kuwa yupo Yanga kwa maslahi basi unajua kuwa anaweza kuwa pengine kwa hayo hayo maslahi. Thamani yake inapimwa na kiwango chake. Kwa sasa ipo juu.Ndio maana nikatoa maelezo juu kuwa Simba ilishindwana na dau alilotoa Aziz Ki ila Yanga wakafikiana muafaka na Aziz Ki kwa kufuata maslahi aliyohitaji. Vipi kwasasa mmeshajichanga changa, au somo limewaangia kuhusu thamani ya Aziz Ki?
Wewe wataje tu hakuna shida Mtani.We wataje wa huo mchezo wa 9-0 ,wa 6-0 na 5-0 wanajulikana
Labda kwa waliozidi Yanga kifedha kama vile timu za Africa kusini na timu za kiarabu ila kwa Simba kwasasa sio rahisi.Kama unakubali kuwa yupo Yanga kwa maslahi basi unajua kuwa anaweza kuwa pengine kwa hayo hayo maslahi. Thamani yake inapimwa na kiwango chake. Kwa sasa ipo juu.
Kwahiyo unaamini Yanga hawajajifunza kitu kwa hili sakata hadi waendelee kuishi kindezi?Hata Morison mlisema hivo hadi mkafungua mashtaka
Kumpata huyo mwamba hata mkataba ukiisha hapatikaniSiyo kuvunjiwa mkataba,mkataba wako unaisha mwezi ujao mwishoni na dirisha dogo linafunguliwa,je simba wakimpa donge nono hawezi kukubali?
Mbingu na ardhi yaaniOsama Bin Laden anamnyemelea kumsainisha Geoge Bush awe mfuasi wa Al-Qaida
Tangu niambiwe Wakala wa Aziz Ki ni mama yake lakini ni mwanaume siamini lolote toka Kwa waandishi.Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba club ya Simba ikimfukuzia mchezaji wa Yanga Aziz K.
Mkataba wa Yanga na Aziz K unaelekea ukingoni wakati wa dirisha dogo la usajili kufunguliwa.
Imekuwa ngumu kwa Yanga kumweka karibu mchezaji wakati huu akiwa kwenye majukumu ya taifa lake maana wametafuta mawasiliano baaada ya kusikia watani zao wanamyemelea lakini mawasiliano yamekuwa magumu hadi atakaporejea Dar es salaam.
Haishangazi kwa wachezaji wa kimataifa kurubunika dau linapofikiwa tusubiri mwisho wake, inaweza ikawa kama Morison alivyoondoka.
Maoni yako ni nini? Je unaridhika Aziz kuondoka Yanga ?
Je ikiwa kweli Simba mnaridhika kuwa na mchezaji kama Aziz?
Chanzo cha habari yako. au unatafuta umaarufu usio natija mkuu.Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba club ya Simba ikimfukuzia mchezaji wa Yanga Aziz K.
Mkataba wa Yanga na Aziz K unaelekea ukingoni wakati wa dirisha dogo la usajili kufunguliwa.
Imekuwa ngumu kwa Yanga kumweka karibu mchezaji wakati huu akiwa kwenye majukumu ya taifa lake maana wametafuta mawasiliano baaada ya kusikia watani zao wanamyemelea lakini mawasiliano yamekuwa magumu hadi atakaporejea Dar es salaam.
Haishangazi kwa wachezaji wa kimataifa kurubunika dau linapofikiwa tusubiri mwisho wake, inaweza ikawa kama Morison alivyoondoka.
Maoni yako ni nini? Je unaridhika Aziz kuondoka Yanga ?
Je ikiwa kweli Simba mnaridhika kuwa na mchezaji kama Aziz?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu niambiwe Wakala wa Aziz Ki ni mama yake lakini ni mwanaume siamini lolote toka Kwa waandishi.
Anayejitekenya na kucheka mwenyewe ni mleta mada, wewe umemsikia kiongozi gani wa Simba kathibitisha kwamba kweli wanamfukuzia Aziz Ki? Achana na utopolo hao wanawakumbushia 5G.Simba wanajitekenya na kucheka....
Yenyeweee
Hizo tetesi zinatengenezwa maksudi ila boss aingie king kwa mfanyakazi wake na aone ana thamani zilitengenezwa kwa zimbwe jr kwa mwamnyeto na Dickson job mikataba yao ilipokuwa inaelekea ukingoni kwa hyo ni kawaida swala laKuna taarifa zisizo rasmi kwamba club ya Simba ikimfukuzia mchezaji wa Yanga Aziz K.