Tetesi: Simba inamnyemelea Aziz Ki

Hizo tetesi zinatengenezwa maksudi ila boss aingie king kwa mfanyakazi wake na aone ana thamani zilitengenezwa kwa zimbwe jr kwa mwamnyeto na Dickson job mikataba yao ilipokuwa inaelekea ukingoni kwa hyo ni kawaida swala la kweli simba wanamtaka au laa simba hawana mpango naye kwa sasa simba ni kubwa kuliko aziz ki pambaneni na hali zenu utopolo.
 
Reactions: Tsh

Aziz Ki mbona kitambo tu alishaongeza mkataba Yanga
 
Dawa ni kumuiba Airport tu kama NGOMA.
 
Labda kwa waliozidi Yanga kifedha kama vile timu za Africa kusini na timu za kiarabu ila kwa Simba kwasasa sio rahisi.
Una ukaribu na mwekezaji wa simba kwa kiasi gani?
 
Hahaha.
 
usikute wapo airport saa hizi wanamsubiri...
 
Kwani wewe unao ukaribu na GSM kwa kiasi gani?
Aliyezungumzia uwezo wa Simba kifedha si ni wewe? Nakunukuu

"Labda kwa waliozidi Yanga kifedha kama vile timu za Africa kusini na timu za kiarabu ila kwa Simba kwasasa sio rahisi."
 
Siyo kuvunjiwa mkataba,mkataba wako unaisha mwezi ujao mwishoni na dirisha dogo linafunguliwa,je simba wakimpa donge nono hawezi kukubali?
Unajua kwamba simba ilimpa ofa kubwa zaidi ya waliyotoa yanga kipindi kile na bado akaipiga chini simba na kuamua kwenda yanga.
 
Kheee tena ...... Mchezaji mliyesema yanga kapigwa kumnunua kwa 600m ndio Simba inamtaka?. Kama yanga ilimnunua kwa hiyo hela vipi saizi Simba inaweza kumpa 1B maana thamani yake imeongezeka Mara dufu?.
 
Aliyezungumzia uwezo wa Simba kifedha si ni wewe? Nakunukuu

"Labda kwa waliozidi Yanga kifedha kama vile timu za Africa kusini na timu za kiarabu ila kwa Simba kwasasa sio rahisi."
Aziz Ki si mlimshindwa kutokana na kutaka ela nyingi? Je Aziz Ki yuko wapi kwasasa?
 
Aziz Ki si mlimshindwa kutokana na kutaka ela nyingi? Je Aziz Ki yuko wapi kwasasa?
Hii ndo point iliyokufanya kuhitimisha uwezo wa kifedha wa Club ya Simba?
 
Mshaanza zile porojo zenu za miaka nenda! Hiyo jeuri ya kumsajili Stephane Aziz Kii mnaitoa wapi nyinyi wazee wa pira papatu papatu? Caesar Manzoki tu mlishindwa kusdajili. Ndiyo muwe na uwezo wa kumsajili Azizi Kii!!

Na huyo Aziz Kii naye atakuwa ni mjinga wa kiasi hicho kweli!! Yaani atoke timu inayojielewa, halafu ahamia timu inayoendeshwa kijanja janja kama genge la wahuni!! Aisee mtasubiri sana na umbumbumbu wenu.
 
Hata Morison mlisema hivo hadi mkafungua mashtaka
Historia ya Bernard Morrison na Stephane Aziz Kii ni tofauti kabisa. Morrison alisajiliwa kwa mkataba wa majaribio wa miezi 6 pekee kutokana na ukweli kwamba, viongozi wa Yanga hawakumuamini kwa 100%. Na yeye baada ya kuwafunga kwenye ile mechi ya derby, akaona atumie mwanya wa kula hela za mwekezaji wenu Mwamedi.

Ukija kwa Aziz Kii, mambo ni tofauti kabisa! Maana yeye amesajiliwa kwa dau kubwa! Kwa sababu viongozi wa Yanga tangu awali walikuwa na imani naye. Na dau la usajili wake ukumbuke kwa upande wenu mlishindwa kulifikia kiasi cha baadhi ya mashabiki wenzenu kuja na nyuzi za kuikejeli Yanga kumsajili mchezaji kama huyo kwa dau kubwa!!

Na leo hii mnajitoa ufahamu eti kumsifia na kumhitaji!! Huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana.
 
Manzoki hamumtaki tena?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…