Mkuu ni vizuri zaidi mgewekeza hizi nguvu kwenye mechi yenu na Al Ahly, maana mnayajadili ya Simba hadi mnapoteza mechi zenu,kumbuka ukifungwa tena hii game hamna nafasi tena ya kufuzuInaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote afrika Hersi Said.
Simba imewaacha nguli hao wa soka la ndani na nje ya nchi huku wakikabiliwa na mechi ngumu kutoka kwa kiongozi wa kundi lao ambae ni Jwanengy Galaxy.
Simba waombewe sana nje ya hapo nawaona wakipoteana mazima.
#prayforsimba#
Wanawekezaga nguvu kwenye mambo ya Simba huko wanasahau mechi zao mwisho wa siku wanakandwaKwahyo boko ndo chanzo cha Simba kupoteana??
Ila kazi mnayo...
Ndio maana kuna mdau akasema eti kwa makirikiri wanaenda kuchezea Watu wamepinda sasaKwamba bocco ana maajabu
Hao hawajui hata wachezaji wao wako wapi maana toka wamerudi kutoka kwenye kichapo hawajapostiwa halafu wanatuambia wanaendeshwa kisasaMkuu ni vizuri zaidi mgewekeza hizi nguvu kwenye mechi yenu na Al Ahly, maana mnayajadili ya Simba hadi mnapoteza mechi zenu,kumbuka ukifungwa tena hii game hamna nafasi tena ya kufuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitangaza kunywa supu na kusherekea goli 5 mwisho wa siku wakapigwa 3Hao hawajui hata wachezaji wao wako wapi maana toka wamerudi kutoka kwenye kichapo hawajapostiwa
Simba wamekosea sana Bocco ni muhimu sana hata kwenye bench huwa anajitahidi kutoa maoni kwa wachezaji wenzakeHizi mechi za nje ndiyo zilikuwa zimebaki za kupangwa Boko maana walijua watu watasonya tu kwenye vioo vya TV. Nilimshauri ajifunze ukipa hakunisikiliza 😀😀😀
Nadhani Boko ameachwa asimamie mazoezi ya wale wanaobaki
Mlijifunza kwa nini Yanga alifungwa tatu mzuka?Jikite kuishauri.Inaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote Afrika Hersi Said.
Simba imewaacha nguli hao wa soka la ndani na nje ya nchi huku wakikabiliwa na mechi ngumu kutoka kwa kiongozi wa kundi lao ambae ni Jwanengy Galaxy.
Simba waombewe sana nje ya hapo nawaona wakipoteana mazima.
#prayforsimba#
Mkuu team zote za kariakoo ni zetu na haiepukiki kabisa kuzijadiliMkuu ni vizuri zaidi mgewekeza hizi nguvu kwenye mechi yenu na Al Ahly, maana mnayajadili ya Simba hadi mnapoteza mechi zenu,kumbuka ukifungwa tena hii game hamna nafasi tena ya kufuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Benchika atakuwa na wakati mgumu sana sidhani kama atafika February anaemshauri anampotezaWanawekezaga nguvu kwenye mambo ya Simba huko wanasahau mechi zao mwisho wa siku wanakandwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashindia mdomoni au mnashinda salama?Mkuu team zote za kariakoo ni zetu na haiepukiki kabisa kuzijadili
Mechi yetu na waarabu ni tunashinda Moja bila na baada ya kupoteza Ile kule Algeria ndio basi tena hapa ni ushindi hadi robo final
Hata mechi moja hajasimamia ulimuona wapi anayemsimamia?Ni wawili tu huko utopolo.Benchika atakuwa na wakati mgumu sana sidhani kama atafika February anaemshauri anampoteza