uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
- Thread starter
- #21
Pale Simba analia na ndio maana hawana furaha na hawataki kabisa Simba "Yao" iongelewe ila ukweli ni kwenye kundi hili Jwanengy Galaxy alikuwa anamtaka Simba na Wydad kwa udi na uvumbaNdio maana kuna mdau akasema eti kwa makirikiri wanaenda kuchezea Watu wamepinda sasa