Simba inasafiri bila Manula, Bocco kule Botswana

Ndio maana kuna mdau akasema eti kwa makirikiri wanaenda kuchezea Watu wamepinda sasa
Pale Simba analia na ndio maana hawana furaha na hawataki kabisa Simba "Yao" iongelewe ila ukweli ni kwenye kundi hili Jwanengy Galaxy alikuwa anamtaka Simba na Wydad kwa udi na uvumba
 
Senzo yupo pale kama director wa ligi ya Botswana na jamaa anajua sana kuuza ma file pale lazima Simba alale hamna hamna 2
 
Hao hawajui hata wachezaji wao wako wapi maana toka wamerudi kutoka kwenye kichapo hawajapostiwa halafu wanatuambia wanaendeshwa kisasa
Mfumo ulikuwa unawekwa sawa mkuu kuanzia kwa kocha hadi wachezaji kesho kitu utaona hutaamini macho Yako ni yanga anaenda next level
Al Ahly kayakanyaga
 
Mpira hauko hivyo, siyo kama hesabu za mlinganyo ndg zangu. tujenge utamaduni wa kuhesshimu mchezo ndani ya dk 90. Huu utani sasa unapoteza maana.
 
Walitangaza kunywa supu na kusherekea goli 5 mwisho wa siku wakapigwa 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile honeymoon ilitupoteza Sasa tumerudi kwenye malengo yetu
Al Ahly hatoki ila Bocco hakuwa wa kuachwa Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa Simba
Mangungu kanyimwa tiketi ya kwenda huko duniani kupiga kura Bocco na Manula wameachwa hii sio sawa
 
Mpira hauko hivyo, siyo kama hesabu za mlinganyo ndg zangu. tujenge utamaduni wa kuhesshimu mchezo ndani ya dk 90. Huu utani sasa unapoteza maana.
Utani haupotezi maana kiongozi mbona mnalazimisha tusikitike kama nyie wakati si mafanikio tunayaona
Mpira ulikuwa gari iliwaka vizuri makosa yakatokea kwenye safu ulinzi na kiungo tukafungwa hayo yamefanyiwa kazi
Golini karudi mwenye miamba yake Diara the master Sasa mnatakaje tuogope!?YAJAYO YANAFURAHISHA STAY TUNE!!
WEKA BANDO
 
Ingekuwa hivoo yanga angeendlea kukaa na kaseke wasimtupe singida
Kaseke huwezi kumlinganisha na Bocco yanga tulikaa na Canavaro hadi akastaafu pale pale Jangwani
Mpeni legend heshima yake bhana yule ni icon wa ligi kuu na mpira wa tz hawezi achwa kizembe namna hiyo
Benchika aandae mabegi
 
Andika kishujaa halafu baadaye mtie huruma na sura ndefu kama uji wa muhogo.
 
Kesho sio mbali tunampiga kama ngoma, wewe endelea kumshabikia
 
mtumeee simba tumekwishaaaa
Jwanengy Galaxy wanafikisha point 6 nasikia Benchika amewaambia program yake inaanza akisajili kwenye dirisha dogo sio Sasa hivi kwa hiyo watarajie lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…