Simba inasafiri bila Manula, Bocco kule Botswana

Pale hamna kipa,Naumia sana nikimuona Meshaki Abel akisugua jukwaani ilihali uwezo wake anamzidi hadi Ally Salim
Ni ajbu sana Abel anajua kuliko hao wote ila nadhani ni maelekezo
 
Na ww bana...si umeambiwa ameumia? Hebu msituchoshe pelekeni maoni kwa Sir Bennchika....
 
Hiyo mechi ni tareh ngapi? Niandae popcon zangu ndoo nzima na pepsi nikishuhudia mtu akikandwa
 
Simba wamekosea sana Bocco ni muhimu sana hata kwenye bench huwa anajitahidi kutoa maoni kwa wachezaji wenzake
Mangungu amkodie ndege akaungane na wenzake, bila hivyo wakifungwa timu ikirudi tutaipopoa kwa mawe wakitoka tu kwenye viunga vya airport.
 
watakuambia, 5imba guvu [/QUOTE]watakuambia, 5imba guvu moyaaaaaa
 
Mfumo ulikuwa unawekwa sawa mkuu kuanzia kwa kocha hadi wachezaji kesho kitu utaona hutaamini macho Yako ni yanga anaenda next level
Al Ahly kayakanyaga

Wa kwako waliopostiwa wameshinda ngapi Kama kupostiwa ndio ushindi? Akili zenu anazijua mangungu peke yake!

Jamaa kasema "hawajapostiwa"dah yani kupostiwa imekuwa kitu relevant kiasi Cha kutumika kwenye mjadala


Kama AC Milan fulani hivi halafu nyie wa kwenu mmewazindika huko kilingeni wiki nzima. kesho msije mkaruka ukuta tu mkaliaibisha taifa πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€
 
Mangungu amkodie ndege akaungane na wenzake, bila hivyo wakifungwa timu ikirudi tutaipopoa kwa mawe wakitoka tu kwenye viunga vya airport.
Yah hili lifanyike faster
 
B… hii imekaaje? Na unawaongelea vipi mnaoenda kukutana nao?
Mdakuzi
B..., always michuano ya CAF mechi za away huwa ni ngumu sana kutokana na mazingira tunayowekeana tukiwa wenyeji. Ni mechi ngumu.

Ova
 
Mpira una maajabu mkuu ni kama Wydad kufa kwake hao vibonde Simba usishangae wanachukua point 3 hapo mpira una matokeo ya kikatili sana Galaxy wanaweza kupoteza hii gemu wakicheza kwa kujiamini ila wakiamua wafanye kweli wao mechi ya leo tu inaweza kuwafanya wafuzu maana watasubiri sare mechi mbili au washinde moja huku Asec na ndugu zake wakitafuta nafasi moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…