Simba inavuna walivyochopanda

Team iko vizur usajil mzur tuache kulalamika sababu tu tumetolewa ,,kutolewa kwny hiz game haimanish team ni mbovu hata hivo tumedroo 1-1 hatujafungwa nyumbani mpira ni mchezo wa makosa unapokosea utaazibiwa mistek waliofanya kusababisha faulo ndio ilio tugarimu ila team ni nzur
 
Kwa kweli mimi binafsi sioni haja ya kumsajili mbrazil kwa mapesa mengi wakati kuna wachezaji lukuki africa Walichofanya simba ni ulimbukeni mtupu na ushamba. Hamkujifunza kwa yanga walivyosajili wabrazil
 
Yupo Fragha, kocha wako amemkariri Kotei ambaye pia ameshindwa kuisaidia Orlando Pirates
Jua soka la Africa Haswa South Africa, team pekee yenye nia ya kushiriki Club bingwa ni mamelod wengine wanakomaa na ligi yao mpunga unafanana na Club bingwa ndio maana Bida, kaiser, pirates wanatolewa mapema hawajali
 
Du,kumbe!
 
Bila 10% hatuwezi kukaa nakuishi town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…