Mkuu mpira wa saizi umebadilika sana tofauti na zamaniSIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????
Cha Muhimu kwa sasa Robertinho aanze kujifunza kucheza.
3: 4 : 2 : 1
Bingwa mtetezi wa cafcl Wydad AC ndugu yake Raja Casablanca.Simba kapangiwa nani?
Kwa msimu huu, binafsi sina deni na Simba. Sasa hivi nasubiri nione usajili utakaofanyika kwa mashindano yajayo.Yaaah mkuu.....lazima ufanye trial za kutosha kwanza
Kabisa mkuu.....seminar nzito inabidi ifanyike ...pale Kwa mkapa wydad asitokeWanachotakiwa kufanya; wafanye juu chini mwarabu atepete lupaso apigwe 2 - 0.
Alafu aende akashikilie bomba huko Casablanca. Yaan anywe maji mengi awe na nguvu haswaa za kuning'inia. Mwisho iwe 1 - 0.
Kwenye football kila kitu kinawezekana.
Yanga hazungumzwi Sana kwa kuwa timu aliyopanga nayo ni dhaifu ukilinganisha na ubora wa yanga walionao kwa sasa hivyo wanauhakika wa kutoboa" lakini Simba anazungumzwa sana kwa kuwa ana kikosi dhaifu sana ukilinganisha na timu aliyopangwa nayo ni Bora Sana na bingwa mtetezi wanauwekezaji mkubwa"
Mpira unadunda na Inaweza kua tofauti na wanavyo fikiria Watu Simba Waondoe Presha na waone kama wanacheza na Tim Ya kawaida tu Hofu ni Mbaya sana unafungwa kabla hajacheza Kwasababu ya hofu kwahiyo bac ondoeni Hofu na Mtaufurahiya mchezo Siri kubw Ni
NB: ni kichaa tu ataamini kolo atapita [emoji23][emoji23]
RIp dundukaView attachment 2578315
Kipindi nikiwa shaabiki wa kabumbu la Tz,nadhani nilikuwa mpuuzi sana ijapo kweli wachezaji bado walikuwepo.SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????
Cha Muhimu kwa sasa Robertinho aanze kujifunza kucheza.
3: 4 : 2 : 1