Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Yanga hazungumzwi sana kwa kuwa timu aliyopanga nayo ni dhaifu ukilinganisha na ubora wa yanga walionao kwa sasa hivyo wanauhakika wa kutoboa" lakini Simba anazungumzwa sana kwa kuwa ana kikosi dhaifu sana ukilinganisha na timu aliyopangwa nayo ni Bora Sana na bingwa mtetezi wanauwekezaji mkubwa"

Mpira unadunda na Inaweza kua tofauti na wanavyo fikiria Watu Simba Waondoe Presha na waone kama wanacheza na Tim Ya kawaida tu Hofu ni Mbaya sana unafungwa kabla hajacheza kwa sababu ya hofu kwahiyo bac ondoeni Hofu na Mtaufurahiya mchezo Siri kubw Ni

NB: ni kichaa tu ataamini kolo atapita [emoji23][emoji23]
RIp dunduka


1680732501740.jpg
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????


Cha Muhimu kwa sasa Robertinho aanze kujifunza kucheza.
3: 4 : 2 : 1
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????


Cha Muhimu kwa sasa Robertinho aanze kujifunza kucheza.
3: 4 : 2 : 1
Mkuu mpira wa saizi umebadilika sana tofauti na zamani
 
Wanachotakiwa kufanya; wafanye juu chini mwarabu atepete lupaso apigwe 2 - 0.
Alafu aende akashikilie bomba huko Casablanca. Yaan anywe maji mengi awe na nguvu haswaa za kuning'inia. Mwisho iwe 1 - 0.

Kwenye football kila kitu kinawezekana.
Kabisa mkuu.....seminar nzito inabidi ifanyike ...pale Kwa mkapa wydad asitoke
 
Yanga hazungumzwi Sana kwa kuwa timu aliyopanga nayo ni dhaifu ukilinganisha na ubora wa yanga walionao kwa sasa hivyo wanauhakika wa kutoboa" lakini Simba anazungumzwa sana kwa kuwa ana kikosi dhaifu sana ukilinganisha na timu aliyopangwa nayo ni Bora Sana na bingwa mtetezi wanauwekezaji mkubwa"


Mpira unadunda na Inaweza kua tofauti na wanavyo fikiria Watu Simba Waondoe Presha na waone kama wanacheza na Tim Ya kawaida tu Hofu ni Mbaya sana unafungwa kabla hajacheza Kwasababu ya hofu kwahiyo bac ondoeni Hofu na Mtaufurahiya mchezo Siri kubw Ni

NB: ni kichaa tu ataamini kolo atapita [emoji23][emoji23]
RIp dundukaView attachment 2578315
876631735.jpg
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????


Cha Muhimu kwa sasa Robertinho aanze kujifunza kucheza.
3: 4 : 2 : 1
Kipindi nikiwa shaabiki wa kabumbu la Tz,nadhani nilikuwa mpuuzi sana ijapo kweli wachezaji bado walikuwepo.
Tatizo viongozi!
 
Back
Top Bottom