Simba inazidiwa na Yanga kwa propaganda

Simba inazidiwa na Yanga kwa propaganda

Ukweli Yanga ni wajuzi sana wa propaganda,
Na inferiority complex inachangia. Siku zote Yanga wanaona kama wanaonewa, kwa hiyo wanakuwa walalamishi. Similarly wakipata jambo zuri, wanalipigia kelele kama vile hawakustahili kupata. Sasa mfano wa hizi safari za Rwanda na Zambia, wamepiga kelele kwamba kuna mabasi 800 yanapeleka mashabiki wake, huko kote ni kutojiamini
 
Na
Kwamba wanafikiri propaganda zao zitasababisha simba itolewe pale kwenye top 10 na supa ligi ili waingie wao? Utopoloz hawajawahi kuwa na akili inapokuja kwenye kuiongelea timu yao.
Nani kakwambia kuwa top 10 ndio kigezo...? Bas ungemuona pyramids na si enyimba, au ungemuona Asec Mimosas na si Enyimba kama ukileta kigezo cha ukanda
 
SIKUTAZAMA moja kwa moja mechi ya Tanga ya fainali ya Ngao ya Jamii, mechi ya Simba na Yanga. Nilichoamini tangu siku hiyo kilikuwa tofauti mno na nilichokiona nilipoyatazama marudio ya maonesho ya mechi hiyo. Awali niliaminishwa kuwa Yanga walicheza peke yao! Simba hawakucheza kabisa. Kwa nini nisiamini hivyo wakati kila mtu aliandika hivyo?
Sawa boss mchambuzi wa Michele.
 
Simba sio timu ya maneno ni vitendo tu.👇
download.jpeg
 
Back
Top Bottom