Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Na inferiority complex inachangia. Siku zote Yanga wanaona kama wanaonewa, kwa hiyo wanakuwa walalamishi. Similarly wakipata jambo zuri, wanalipigia kelele kama vile hawakustahili kupata. Sasa mfano wa hizi safari za Rwanda na Zambia, wamepiga kelele kwamba kuna mabasi 800 yanapeleka mashabiki wake, huko kote ni kutojiaminiUkweli Yanga ni wajuzi sana wa propaganda,