Na inferiority complex inachangia. Siku zote Yanga wanaona kama wanaonewa, kwa hiyo wanakuwa walalamishi. Similarly wakipata jambo zuri, wanalipigia kelele kama vile hawakustahili kupata. Sasa mfano wa hizi safari za Rwanda na Zambia, wamepiga kelele kwamba kuna mabasi 800 yanapeleka mashabiki wake, huko kote ni kutojiaminiUkweli Yanga ni wajuzi sana wa propaganda,
Eti bwanaLengo ni 1st position in Africa. Tumewazidi hadi chelsea nyinyi ni nani?
Wanabishana na takwimu basi walete zao wanazozitakaEti bwana
Nani kakwambia kuwa top 10 ndio kigezo...? Bas ungemuona pyramids na si enyimba, au ungemuona Asec Mimosas na si Enyimba kama ukileta kigezo cha ukandaKwamba wanafikiri propaganda zao zitasababisha simba itolewe pale kwenye top 10 na supa ligi ili waingie wao? Utopoloz hawajawahi kuwa na akili inapokuja kwenye kuiongelea timu yao.
Sawa boss mchambuzi wa Michele.SIKUTAZAMA moja kwa moja mechi ya Tanga ya fainali ya Ngao ya Jamii, mechi ya Simba na Yanga. Nilichoamini tangu siku hiyo kilikuwa tofauti mno na nilichokiona nilipoyatazama marudio ya maonesho ya mechi hiyo. Awali niliaminishwa kuwa Yanga walicheza peke yao! Simba hawakucheza kabisa. Kwa nini nisiamini hivyo wakati kila mtu aliandika hivyo?
Vizuri kwenye ushambengaMimi Simba .....ila Yanga wako vizuri zaidi
Ila marahaba[emoji1545]Ngoja huko Zambia ugongwe alafu utulie uanze kupost uchawi wako we mzee, ila shikamoo
Huyo ni yeboyebo damu tunafahamiana vizuri sana labda wewe ndio hujuiMuda mwengine kubali ukweli sio kila kitu lazima upinge...[emoji28]
Et ila ,
Sisi pale Zambia ni home, kuliko ulivyo wewe pale Rwanda.Ngoja huko Zambia ugongwe alafu utulie uanze kupost uchawi wako we mzee, ila shikamoo
[emoji23][emoji23]
Hivi jamaa hawajaenda zambiaEfm radio wakiongozwa na Binti Kazumari wameshindwa kuwapambania kweli mpaka muanze kuleta siredi huku ππ