NYIE TIMU YENU YA MWISHO KUIFUNGA NI HIYO MNAYOKUTANA NAYO RWANDA,BAADA YA HAPO MKIPITA TU MNARUDI KWENYE DEFAULT SETTING YENU YA UTOPOLO.Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.
Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh.
Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
Shangwe litakuwa la kutosha sana.Kabisa nami natamani zisonge zote. Pia itaongeza sana vibe kwa mashabiki.
Ndio wanachoomba hichoJana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.
Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh.
Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
Wawange na kuwanga kabisa
Aahaaaaa,kumbe unaamini tutaingia makundi,basi vizuriNYIE TIMU YENU YA MWISHO KUIFUNGA NI HIYO MNAYOKUTANA NAYO RWANDA,BAADA YA HAPO MKIPITA TU MNARUDI KWENYE DEFAULT SETTING YENU YA UTOPOLO.
NI WAZI MWISHO WENU NI MAKUNDI TU.
Pamoja mkuuHata mimi naomba wote tuingie makundi
Simba hatuna maombi ya kichawi hivo shindeni kama mnashindwaJana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.
Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh.
Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
Aahaaaa,sawa mkuuSimba hatuna maombi ya kichawi hivo shindeni kama mnashindwa
Nampigwe
Unafikiri Al Ahyl hawajaona jinsi Kibu D alimpelekea moto mdaka mishaleIla wewe nawe unaonesha jinsi gani ulivyokuwa haufatilii mpira. Mechi ya Simba bado mwezi mzima mbele ndio apumzishe wachezaji leo kwasjili ya mechi ya mwezi ujao? Ulidanganywa kuwa Al Ahly hatocheza mchezo wowote ule iwe klabu bingwa au ligi kuu mpaka atakapocheza na Simba? Umewaza ovyo sana aisee
Picha ya nani Mkubwa kimataifa mbona ishatolewa na CAF mzee, ndio maana kuna wengine wanaanzia round za awali huku Simba na wababe wengine kama Ahly, Raja, Mamelodi waikianza round ya piliJapo sipendi Simba,ila kimpira zaidi na maendeleo ya mpira wetu kiujumla naombea wote tuingie makundi
Home games za timu zote mbili zitatoa picha ya nani ni mkubwa kati yetu kimataifa
Hizo zilipendwaPicha ya nani Mkubwa kimataifa mbona ishatolewa na CAF mzee, ndio maana kuna wengine wanaanzia round za awali huku Simba na wababe wengine kama Ahly, Raja, Mamelodi waikianza round ya pili
Aahaaaa,Mbona kama mnataka umaarufu kwa mgongo wa Simba??
Toka asubui ni nyuzi Simba iombe Simba iombe...nyie mna swali swala?
Ahaaaaa,vipi mkuuAhhhhhh mdomo Koma
Ni mwendo wa shwaaaaaa ahera...Aahaaaa,
Tulia mamiloo