steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
NYIE TIMU YENU YA MWISHO KUIFUNGA NI HIYO MNAYOKUTANA NAYO RWANDA,BAADA YA HAPO MKIPITA TU MNARUDI KWENYE DEFAULT SETTING YENU YA UTOPOLO.Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.
Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh.
Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
NI WAZI MWISHO WENU NI MAKUNDI TU.