Haitanoga... Twende wote Ila atayewahi kurudi ndo achekweDawa ni mmoja afungwe mwingine ashinde tambo ziwe nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio zilipendwa, ni msimu huu inatokea hivyoHizo zilipendwa
Hapo ndio noma ila natamani mmoja ashindwe ndio utawasikia mashabikiHaitanoga... Twende wote Ila atayewahi kurudi ndo achekwe
Ila wewe nawe unaonesha jinsi gani ulivyokuwa haufatilii mpira. Mechi ya Simba bado mwezi mzima mbele ndio apumzishe wachezaji leo kwasjili ya mechi ya mwezi ujao? Ulidanganywa kuwa Al Ahly hatocheza mchezo wowote ule iwe klabu bingwa au ligi kuu mpaka atakapocheza na Simba? Umewaza ovyo sana aisee
unajua faida ya pesa super cup au unaporoja 2?Al Ahly anawaza game dhidi ya Simba kapumzisha timu.
HakikaUjinga wa kurithi wakati unazaliwa ni mbaya sana