Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

Ila wewe nawe unaonesha jinsi gani ulivyokuwa haufatilii mpira. Mechi ya Simba bado mwezi mzima mbele ndio apumzishe wachezaji leo kwasjili ya mechi ya mwezi ujao? Ulidanganywa kuwa Al Ahly hatocheza mchezo wowote ule iwe klabu bingwa au ligi kuu mpaka atakapocheza na Simba? Umewaza ovyo sana aisee
Al Ahly anawaza game dhidi ya Simba kapumzisha timu.
unajua faida ya pesa super cup au unaporoja 2?
 
Ndugu zetu wana Thiiiiiimba tulikuwa tunaomba majibu mapema kuwa Al merrikh ni timu mbovu, vibonde au mtuambie mapema tujue baadae msije kuleta visingizio
 
Ambae hajawahi kuifunga Al ahly ndio atashangaa.
 
Back
Top Bottom