Simba ipo Msimbazi Yanga wapo wapi?

Hawa ndio wajumbe kwenye mkutano mkuu wa club 😢😢 miaka 10 hatupati kitu
 
hata kama hatuna makao ila kwenye pitch mpakato wa max,aziz na pacome hamuwezi kuukwepa makolo nyie...subiri project la pale jangwani likamilike ndo mtajua kwamba levo zenu ni KMC tu nchi hii
 
hata kama hatuna makao ila kwenye pitch mpakato wa max,aziz na pacome hamuwezi kuukwepa makolo nyie...subiri project la pale jangwani likamilike ndo mtajua kwamba levo zenu ni KMC tu nchi hii
Eti nini? Project la jangwani? Kila siku mnapigwa tarehe. Niliwaambia zile ni ahadi hewa mkaniona mimi mjinga, kiko wapi sasa?
 
Ninachojua mimi Msimbazi ni kituo cha polisi, Sasa ukisema 5imba wapo Msimbazi najiuliza wamefanya kosa gani? Au ni baada ya kutoa sare na al hilal pungufu?
Ndiyo mpira huo. Kuna mifano mingi ya timu kuwa pungufu na kushinda mechi, ikiwemo Simba pungufu kumfunga Yanga
 
Eti nini? Project la jangwani? Kila siku mnapigwa tarehe. Niliwaambia zile ni ahadi hewa mkaniona mimi mjinga, kiko wapi sasa?
project ya jangwani sio ya km ya b20 ambazo zimekuwa za janja janja kumbe hazipo popote jangwani kuna project kama ya b100+ sasa lazma mipango ichukue mda vilazinyo hamuwezi kuelewa
 
project ya jangwani sio ya km ya b20 ambazo zimekuwa za janja janja kumbe hazipo popote jangwani kuna project kama ya b100+ sasa lazma mipango ichukue mda vilazinyo hamuwezi kuelewa
Hahha. Amka bloo utumie choo kabla haujachafua shuka
 
Msimbazi halina uhusiano na neno Simba
 
Twiga na Jangwani. Vinahusiana vipi na jina la Yanga? Kwa hiyo Mzee Magoma enzi zao walishindwa kubadili eneo hilo likaitwa Yanga? Anyway, wanasema usiamshe waliolala.
Hebu ficha upumbavu wako, kwahiyo kariakoo mtaa wa Msimbazi ndio jina la Simba?

Au upo Kibondo na hujawahi kukanyaga Dar?
 
Plaza kwenye kiwanja cha 20x20?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…