Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Huwezi kunielewa inabidi uende shuleNajaribu kukuelewa bwashee. Naona kama unanijaza upepo shazi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kunielewa inabidi uende shuleNajaribu kukuelewa bwashee. Naona kama unanijaza upepo shazi tu
Mgumu kuelewaMsimbazi ni Msimbazi na Simba ni Simba. Hakuna uhusiano wa mtaa na jina la timu na ndio maana umeona kuna picha ya Simba kwenye logo ya timu. Simba iliyokusudiwa hapo ni lion kwa lugha nyingine
Kuchelewa kujua siyo ujinga, ila ujinga ni kuto taka kujifunza similarly if you do learn you will not earnNilipie ada. Natamani kupata PhD
Kwa nini sasa na nyie badala ya kuitwa Twiga mkaamua kuitwa Chura au kwa sababu mmeamua kuishi matopeni?Msimbazi ni Msimbazi na Simba ni Simba. Hakuna uhusiano wa mtaa na jina la timu na ndio maana umeona kuna picha ya Simba kwenye logo ya timu. Simba iliyokusudiwa hapo ni lion kwa lugha nyingine
Unaongea viingereza vingi sana bwashee. Itakuwa umesoma sana wewe, kiingereza kinatiririka tu kama maji.Kuchelewa kujua siyo ujinga, ila ujinga ni kuto taka kujifunza similarly if you do learn you will not earn
Umeona unavyoamua kujiabisha baada ya kujiona huna hoja? Naishia hapo naona akili imeshakukaa sawa na kujiona hukuwa na hoja ya msingi. Ni vile tu humu wana ruhusu kila aina ya watu waanzishe uzi ndio maana unaongoza kwa pumba humu jukwaani.Kwa nini sasa na nyie badala ya kuitwa Twiga mkaamua kuitwa Chura au kwa sababu mmeamua kuishi matopeni?
Povu lote hili linatosha kuoshea vyombo hapo getoUmeona unavyoamua kujiabisha baada ya kujiona huna hoja? Naishia hapo naona akili imeshakukaa sawa na kujiona hukuwa na hoja ya msingi. Ni vile tu humu wana ruhusu kila aina ya watu waanzishe uzi ndio maana unaongoza kwa pumba humu jukwaani.
Sawa kaoshee vyomboPovu lote hili linatosha kuoshea vyombo hapo geto
Msimbazi - Mto MbeziSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Msimbazi na simba havina uhusiano wowote kilughaSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Kwa utafiti wangu niliofanya, Yanga ilianza kama timu ya shule ya sekondari ya Jangwani. Baadae wazee, hawa kina Mzee Magoma ndiyo wakaichukua na ili kuficha ushahidi wakabadili na jina lake ndiyo wakaja na jina hilo la ajabu lisilo na historia na eneo klabu ilipo.Simba = M'simbazi
Yanga = M'yangazi
Myangazi kwa kiswahili ndio mshangazi,
Mshangazi akiwa mmoja, wakianzia wawili wanakuwa mishangazi.
Hivyo hao ni MISHANGAZI.
😂🤣
Kama ilikuwa timu ya wadada wa jangwani, basi bado ni MISHANGAZI FC.Kwa utafiti wangu niliofanya, Yanga ilianza kama timu ya shule ya sekondari ya Jangwani. Baadae wazee, hawa kina Mzee Magoma ndiyo wakaichukua na ili kuficha ushahidi wakabadili na jina lake ndiyo wakaja na jina hilo la ajabu lisilo na historia na eneo klabu ilipo.
We kweli pimbi aliikwambumia msimbaz ni simba nan ndio tatizi ka kuja mjini kuchelewa msimbaz ni mto au kwa kua unaona wanaitwa wana wa msimbaz na young african wanaitwa wana wa jangwan na hilo jengo ni la quen ndio umiliki wake wa kwanza ikaja sandaland hadi leo hati inasomeka hivyo labda wawe wamebadili mwaka huu na ndio maana unaoan hawana la kufaya sigara walitaka kuwapa eneo lao maduka mawili wao wachukua msimbaz kwa ajili ya biashara wakakwama sababu ya umilikiSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.