Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Akiprint jezi laki 5 mara 30000 maana yake ataingiza bil 15
Ukitoa bilion 2 ya simba na labda gharama za matengenezo bilion 6.
Anabaki na faida ya bilion 7 hiyo ni minimum
da wabongo sie wakali sana wa mahesabu za kurahisisha,, yaani mtu keshampigia jamaa ataingiza 7b... hv purchasing power ya watu wa mpira huku kwetu ikoje.. hapo achilia mbali counterfis zinazouzwa buku 10. unaweza ukaona jamaa wataingiza pesa nyingi ila gharama za kuipata hiyo pesa nyingi ni kubwa pia.
ukumbuke kuna promo kubwa lazima ifanywe kila siku iitwayo leo . na ununuaj wetu wa jersy sio mkubwa. naamnin kuna wachache ambao wananunua jearsy msimu kwa msimu . kina sie hadi iliopo ichoke kwanza ndo tujipange kwa jersy mpya
muulizen GSM alivyokuwa anahaha na jearsy za mwaka jana na huu.. msimu mpya ulifika kwenye stock akawa na jersy za zaman. hadi leo zipo. na aamin hata simba pia. bado hatuna ile tabia ya kununua jearsy kwa ajili ya kumbukumbu. tunanunua kama vazi la kawaida .. so had ichoke ndio ipishane na mpya
hii biashara acha tuishangilie huku nje ila .. inahitaj financial muscles kuiendesha na promo nyingi