Simba is Business, Business is Simba

Akiprint jezi laki 5 mara 30000 maana yake ataingiza bil 15

Ukitoa bilion 2 ya simba na labda gharama za matengenezo bilion 6.

Anabaki na faida ya bilion 7 hiyo ni minimum

da wabongo sie wakali sana wa mahesabu za kurahisisha,, yaani mtu keshampigia jamaa ataingiza 7b... hv purchasing power ya watu wa mpira huku kwetu ikoje.. hapo achilia mbali counterfis zinazouzwa buku 10. unaweza ukaona jamaa wataingiza pesa nyingi ila gharama za kuipata hiyo pesa nyingi ni kubwa pia.

ukumbuke kuna promo kubwa lazima ifanywe kila siku iitwayo leo . na ununuaj wetu wa jersy sio mkubwa. naamnin kuna wachache ambao wananunua jearsy msimu kwa msimu . kina sie hadi iliopo ichoke kwanza ndo tujipange kwa jersy mpya

muulizen GSM alivyokuwa anahaha na jearsy za mwaka jana na huu.. msimu mpya ulifika kwenye stock akawa na jersy za zaman. hadi leo zipo. na aamin hata simba pia. bado hatuna ile tabia ya kununua jearsy kwa ajili ya kumbukumbu. tunanunua kama vazi la kawaida .. so had ichoke ndio ipishane na mpya

hii biashara acha tuishangilie huku nje ila .. inahitaj financial muscles kuiendesha na promo nyingi
 

We pumbu kweli hujui kusoma au? Hiyo bil 7 niliyoandka hapo ya matengenez ni ya matako yako au? Soma kitu kabla ya kukurupuka kujibu ye sio mjinga aingie biashara isiyo na faida
 
We pumbu kweli hujui kusoma au? Hiyo bil 7 niliyoandka hapo ya matengenez ni ya matako yako au? Soma kitu kabla ya kukurupuka kujibu ye sio mjinga aingie biashara isiyo na faida
Unazidi kudhihirisha shuleni ulikuwa unakula makamasi tu we utopolo. Matengenezo imekuwa gari mbovu kama Yanga?
 
Nani kakwambia hana audited reports??

Soma vigezo vya tenda
 
mkuu tatizo la tanzania tuna akina kingwangala wengi sana, muda sio mrefu wataanza makelele yao ya kipumbavu na kuvuruga timu mwisho tutarudi kule kule kwa kina kilomoni sijui na vizee vingine vijinga jinga vilivyojaa hapo kariakoo vinacheza bao!

FCC wanatakiwa kukamilisha hili suala la uwekezaji ili kulinda pesa za watu...... sisi mashabiki tunataka furaha masuala ya nani anakula pesa hayatuhusu! tunataka uwanja wetu bunju ukamilike, tunataka ofisi (HQ) za klabu yetu ziwepo na ziendane na hadhi yetu, tunatamani shughuli zote za simba zifanyike kwenye HQ za simba kama ilivyo kwa vilabu vya ulaya na nchi zingine zilizoendelea!......
 
Huyu chinga ameua asisahau na vitu vya nyumbani, condom, electronic viwe msimbazi tupu.
Ila utopolo watakuwa wamenuna sana walipo sikia habari hii
🤣 Walijua zahera ndio anatambulishwa Simba Sc
 
Nitoe shukrani za dhati kabisa kwa uongozi wa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Hassan Suluu kwa kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji kama hawa na kuwa na imani na Serikali yao hadi wakaamua kuwekeza pesa zao
 

Kumbe hata kununua jezi ya dollar 80 huwezi
Acha majungu piga kazi
 
Kwa hiyo kampuni kubwa ya puma unalinganisha na vunjabei!?
 
Unamvaaa mnyama mkali sio?
 
Vunja bei akitengeneza jezi laki 1 kwa sh 25000 kwa mwaka ni sh 2.5 bilioni mwaka wa poli analipa kodi na ktafuta faida. Pia kumbuka vunja bei anatengeneza jina haangalii faida kubwa.
 
Wewe ndio huna hela ng’ombe wewe
Kazi kuja kulilia wanaume hapa
Fanya kazi usipende mteremko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni akili za utopolo kubishana ni matumizi mabaya ya rasilimali muda. Mimi naweza kununulia jezi zote tatu za timu yako ya ulaya (home away n neutral)ukaletewa na DHL nyumbani kwa shemeji yako unapokaa mpuuzi mmoja wewe

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Sie tunahitaji furaha hizo habar nani anafaidika haituhusu, Simba oyeee
 
Kama mmeumia kunyweni sumu mfe mbona simple sana..kama unaona habari za mafanikio ya simba zinakuumiza moyo aheri ujitundike
Mafanikio yepi!!???
kuna kombe lolote wamebeba ww kiazi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…