Simba is Business, Business is Simba


Kajifunze kuandika kwanza
Ukimaliza uje tu pop champagne [emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu vya msingi sana kuviunga mkono likiwemo hili
Ivi una queation vipi mchakato kama huu ambao ulikuwa open kabisa ?

Shida bongo tuna fitina sanaa sasa mtu unaajiuliza leo simba anaingiza 1B na mzabun wa zaman alikuwa analipa 200 sasa mpigie mahesabu huyu aliyekuwa analipa mil 200 je alikuwa anafyatua jezi kiasi gan ? Bei ya jezi ya simba original ni 25>30k
Hapo hesabu ni kwamba awal simba alikuwa analiwa kweupeee sasa ni bora hii 1B kwa kuanzia then wataangalia thaman ya brand

Hapo hesabu
 
Wewe ni mpu.mbavu. Unajua mashabiki wengi wa mpira ni watu wa class gani? Ukilijua hilo huwezi kuandika upuuzi kama huo ulioandika.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app

Huyu hana lolote,mtu mwenye huo uwezo wala hawezi leta dharau kwa walio na kipato cha chini,achana nae Mkuu anakupotezea muda tu huyo.
 
Ni kweli!ila simba since wameanza kufanya vizuri kimataifa imeongeza value na uhitaji,timu zetu zimekua zinakosea katika launching..mfano wanafanya uzinduzi wa jersey leo dar,then mikoani inabidi mtu aagize dar,wakati wangeweza sambaza jersey mikoa yote then inafanyika live launching kwa pamoja lazima wauze...mtu ikishapita week hana jersey hata hamu ya kununua inaisha..so wajaribu kufanya exclusive launching mikoa yote ina maana kila mikoa tuassume uuze pc 100 kila mkoa siku ya kwanza inapush...changamoto nyingine waweke grades tofauti ili kuchuana na jersey fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…