Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo mimi siyo Simba lakini linapokuja suala la kweli nabaki na kweli. Saidoo ni mchezaji wa muhimu sana kwa wachezaji waliopo hapo ukoloni.Mimi sielewi kwanini wanasimba wana chuki kali dhidi ya Saidoo. Saidoo ndiye mfungaji bora msimu uliopota akiwa na Mayele, saidoo ndiye mfungaji bora wa simba msimu huu. Saidòo ni mchezaji mwenye kujituma sana. Why saidoo? Vipenzi vyenu kina chama na kibu wamefanya nini cha kujivunia msimu huu? Why matusi kwa saidoo? Hii si busara kwa soka la Tz
Isingeenda shirikisho maana yake nikwamba ata nafasi ya 3 isingepata.Kwasababu ilo shirikisho lenyewe simba imelipata ukiwepo mchango wa saido ambaye wewe unamwona hafai.Swala la ubinafsi ilo ni swala la walimu kwasababu wao ndio wanaowaona wachezaji kwa karibu kuliko sisi watazamaji.Ukitaja wachezaji 3 waliojituma uwanjani kwa simba hii iliyomaliza ya 3 jina la saido haliwezi kukosekana.Tumpe haki yake.We kweli umepitwa na mda saidoo kwenye mkataba wake kuna kipengele cha yeye kucheza mechi kwa dakika 75 akiwa fit na sio kwamba wanamuanzisha kwa uwezo wake mchezaji mbinafsi kama yule wa nn simba sehemu ya kutoa pasi anataka kufunga halafu kila faulu anataka apige yeye aondoke kama sio ubinafsi wake simba isingeenda shirikisho.
Wabongo sisi ni fuata upepo tu.hatuna muda wakufanya logic.Kuna watu wanamchukia ila wengi wao hawana sababu za msingi.Kama ambavyo kuna ambao walikua wanamchukia aziz k bila sababu hadi kumtukana uko mitandaoni.Mimi sielewi kwanini wanasimba wana chuki kali dhidi ya Saidoo. Saidoo ndiye mfungaji bora msimu uliopota akiwa na Mayele, saidoo ndiye mfungaji bora wa simba msimu huu. Saidòo ni mchezaji mwenye kujituma sana. Why saidoo? Vipenzi vyenu kina chama na kibu wamefanya nini cha kujivunia msimu huu? Why matusi kwa saidoo? Hii si busara kwa soka la Tz
Goal za penalty nazo ni za kujivunia kweli.Isingeenda shirikisho maana yake nikwamba ata nafasi ya 3 isingepata.Kwasababu ilo shirikisho lenyewe simba imelipata ukiwepo mchango wa saido ambaye wewe unamwona hafai.Swala la ubinafsi ilo ni swala la walimu kwasababu wao ndio wanaowaona wachezaji kwa karibu kuliko sisi watazamaji.Ukitaja wachezaji 3 waliojituma uwanjani kwa simba hii iliyomaliza ya 3 jina la saido haliwezi kukosekana.Tumpe haki yake.