Simba isipoachana na Robertinho basi ijiandae kuishia makundi tu klabu bingwa Afrika

Ukiulizia amekosea wapi hamsemi.

Ila wabongo tuna UPUMBAVU mwingi sana....!!!!!!!!!
Leo nakupinga mkuu kocha hana first eleven nikweli anatumia direct football lakin bado haichezwi kama tinavyoijua.
Kocha anazingua viongoz walione hilo mapema kabla mambo hayajaharibika.
Na kwa kuongezea tu mgunda ni bora zaid kuliko huyu chiba.
 
Leo nakupinga mkuu kocha hana first eleven nikweli anatumia direct football lakin bado haichezwi kama tinavyoijua.
Kocha anazingua viongoz walione hilo mapema kabla mambo hayajaharibika.
Na kwa kuongezea tu mgunda ni bora zaid kuliko huyu chiba.
Kwa ubora and kuwafanya wachezaji wanae he is very good and hata wazawa walikua wanaupiga mwingi sn kwa sasa wazawa wasahau kabisa ukiondoa kapombe,mzamiru and Hussein.
 
Robertino ni kocha mzuri sana . Sema wana Simba mna shida sana . No support is given to the manager . More busy kujilinganisha na yanga kwenye kila kitu . Give him support mbona Ana loss 2 tu since amefika Simba . One of the best manager wa Simba . Mashabiki na viongozi wa Simba mna shida Sana
 
Mkuu sio hatumpi sapoti ila hawa mako makocha wakigeni huwa hawataki ushauri inshort ni wabaguzi.
Sas inavyofikia hatua timu inapwaya ni lazima asemwe kwan yeye ni nani hadi asisemwe.
 
Nilichokibaini
Kocha anawachezaji wazuri ambao iliwaonekane wanacheza vizuri inatakiwa combination ya mchezaji na mchezaji.

Namaanisha nini kuna mchezaji akicheza na mtu fulan anaonekana kama kapwaya au kuigharimu timu.

kwa ushauri wangu first 11 ya simba inatakiwa kuwa ile ya kipindi cha pili
 
Simba imesajili kwa hela nyingi sana, sasa ni zamu ya kocha kufundisha mpira wa kueleweka na kupata matokeo mazuri

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa yanga hamumpendi Robertinho ila mjue hatoki leo.
 
Simba ingekuwa na KIKOSI hiki ingechukua UBINGWA.


1. Aishi Manura.
(John Noble)

2. SHOMARI kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4.
5. Henock Inonga.
6. (YANIC BANGALA.)
7.
8. Fabrice NGOMA.
9. Jean Baleke.
(Pape Andoi Ndiaye)
10. CLOTUS chama
11. Said Ntiba/ KIBU.
 
Pira papatu papatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…