MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Kwangu mm kuna vitu hua hawafanyi sawa sawa na hasa analysis ya mpinzani amefanya makosa mengi sn kinachomsaidia ni sub ila first 11 yake haiendani na mpinzani mara nyingi sn he does opposite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nakupinga mkuu kocha hana first eleven nikweli anatumia direct football lakin bado haichezwi kama tinavyoijua.Ukiulizia amekosea wapi hamsemi.
Ila wabongo tuna UPUMBAVU mwingi sana....!!!!!!!!!
Kwa ubora and kuwafanya wachezaji wanae he is very good and hata wazawa walikua wanaupiga mwingi sn kwa sasa wazawa wasahau kabisa ukiondoa kapombe,mzamiru and Hussein.Leo nakupinga mkuu kocha hana first eleven nikweli anatumia direct football lakin bado haichezwi kama tinavyoijua.
Kocha anazingua viongoz walione hilo mapema kabla mambo hayajaharibika.
Na kwa kuongezea tu mgunda ni bora zaid kuliko huyu chiba.
Eti hajui kuchagua wachezaji wa kuanza, washabiki wajinga kweliUkiulizia amekosea wapi hamsemi.
Ila wabongo tuna UPUMBAVU mwingi sana....!!!!!!!!!
Mkuu sio hatumpi sapoti ila hawa mako makocha wakigeni huwa hawataki ushauri inshort ni wabaguzi.Robertino ni kocha mzuri sana . Sema wana Simba mna shida sana . No support is given to the manager . Moo busy kujilinganisha na yanga kwenye kila kitu . Give him support mbona Ana loss 2 tu since amefika Simba . One of the best manager wa Simba . Mashabiki na viongozi wa Simba mna shida . Sana
Yaani mashabiki mnaona mpo na ujuzi zaidi ya makochaMoja kati ya sifa kuu ya kocha mzuri basi Lazima ajue kupanga kikosi kinachoanza mechi.
Sasa huyu mbwiga hajui hata selection ya fist eleven yake.
Nahisi wew ndio🚮[emoji706]
Makosa ya kocha hayajifichiYaani mashabiki mnaona mpo na ujuzi zaidi ya makocha
Simba imesajili kwa hela nyingi sana, sasa ni zamu ya kocha kufundisha mpira wa kueleweka na kupata matokeo mazuriRobertino ni kocha mzuri sana . Sema wana Simba mna shida sana . No support is given to the manager . Moo busy kujilinganisha na yanga kwenye kila kitu . Give him support mbona Ana loss 2 tu since amefika Simba . One of the best manager wa Simba . Mashabiki na viongozi wa Simba mna shida . Sana
Naomba upange kikosi kinachostahili kuanza. na sub zake zikiwa sambamba na muda wa kufanya sub hizo. Twende kwa nadharia ya vitendo, sio maneno tuMakosa ya kocha hayajifichi
Hahahaaa.....mwakarobo f.c.we kilaza wa wapi huyu katufikisha robo tukiwa na team mbovu.. nyie mashabiki maandazi mnaangalia mechi Moja tuu
GamondiYupi mkuu? Gamondi au nabii
Pira papatu papatu.Moja kati ya sifa kuu ya kocha mzuri basi Lazima ajue kupanga kikosi kinachoanza mechi.
Sasa huyu mbwiga hajui hata selection ya fist eleven yake.
Kocha Hana mbinu, hawezi kusoma mchezo kadri unavyoendelea, hawezi hata kufanya sub zinazoweza kuamua mechi[emoji848][emoji848]
Kitu pekee anachoweza ni kushangilia magoli ya kubahatisha na kufurahia pira papatu papatu tunalocheza.
Wanasimba wenzangu tuushinikize uongozi umtumie huyu Mzee kabla maji hayajafika shingoni.
[emoji75] Nguvu moja[emoji123]