Simba isiposhuka daraja mimi si raia

Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!

Sihoraisi sisi tushukedarja,
Sis nitim kubua sana.

CC Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Hata hivo we sio raia unataka kupitishia tu rud kwenu Malawi
 
hahahaha hesabu za kifala ----
 
mimi huwa sitaki kusikia simba na yanga ni timu za waswahili wa dar nashangaa sana wenzangu wasio ishi dar kushabikia timu za ki se nge hizi na kuacha timu zetu za nyumbani
 
Tupe ID yako ya ukweli muda ukifika tukutimue

Mkuu jamaa afungashe tu maana amethibitisha mwenyewe yeye si raia alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka. Asepe tu kimyakimya kabla hatujamvalia njuga
 
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!

saa hizi nadhani utakuwa unaelekea mpakani kurudi kwenu
 
simba ikishuka daraja hii nchi itakuwa na amani..
 
Naona dalili za Mke kumchoka mumewe sasa anataka afungwe jela ili aolewe na Bwana mwingine.

Bahati mbaya ndoa yenyewe ni ya Kikristo, mpaka kifo hiyo.
 
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
ukisikia akili mbovu ndio hii

Lazma ulifeli sana hisabati
 
Mahesabu ya kimbumbumbu na kitaahira utayajua tu.
 
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
Siku hizi mnaojiita wachambuzi wa soka mpo wengi sana!
 
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!

We bado raia?
 
Mkuu bado tupo na wewe unavukia kigoma au mbeya kurudi kwenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…