Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
jamiiforums na uhuru wa mawazo sio matusi.
Hesabu hii hapa. Acha kutokwa na mapovu.
Kama mechi tatu zilizopita matokeo yalikuwa hivi;
Shida
Droo
Shindwa
Then mech tatu zijazo;
Droo
Shindwa
Shindwa
Na mechi tatu tena zijazo;
Shindwa
Shindwa
Shindwa
Logic tu baba
Sasa jumlisha wewe mwenyewe point.
Je itakuwa ya ngapi katika msimamo?
Tena assumption ni kuwa zipo mechi sita mkononi.
Asante kunielewa
Tupe ID yako ya ukweli muda ukifika tukutimue
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
ukisikia akili mbovu ndio hiiNajua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
hahahaha hesabu za kifala ----
Siku hizi mnaojiita wachambuzi wa soka mpo wengi sana!Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
Najua mtakuja na mapovu midomoni enyi wana simba wenzangu lakini hesabu kamwe haiongopei.
Kamahesabu simba imeshashuka daraja na mwakani itakuwa ligi daraja la kwanza. Hii ni fomula tu.
Mwenye mawazo tofauti weka hapa!!!!
Mkuu bado tupo na wewe unavukia kigoma au mbeya kurudi kwenu??