donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,589
- 3,184
Bila kujali nani anaitolea hela zote klabu, point yangu ni kwamba nia ya mtoa fedha huyo ni biashara au ni ubingwa wa bara? Kama ni biashara, njia pekee ya kurudisha hizo hela ni kuzipata hela za CAF (na hapo ndipo Mazembe, Al Ahly, Esperance etc zinapotajirikia). Na ili uzipate hela za CAF, ni lazima ucheze hatua ya makundi ya Klabu Bingwa (ile ya Kombe la Washindi kuna hela pia, ila huwa sio ndefu kama Ligi ya Mabingwa). Sasa kama unasajili wachezaji kuikomoa timu pinzani na sio kuangalia kikosi cha kutinga hatua ya makundi, kila la heri. Leta hela vijana wajichotee, wakitolewa raundi ya pili watazuga kulia uwanjani kumbe moyoni wanachotaka ni mahela yako tu. Kila la heri
Kessy kama kaja yanga ni njaa zake hatujamuiba simba