Simba iliwahi kufanya yote hayo na haikuchukua ubingwa wowote wa Africa.
Sio sahihi kulinganisha Yanga au Simba na TP Mazembe. Mfano wa TP Mazembe Tanzania ni Azam. Manji ni kiongozi wa kuchaguliwa Yanga sio mmiliki wa club kama Katumbi. Note the difference.
Kessy kwenda Yanga inadhilihisha kwamba Simba kwa sasa ni feeder club kwa Yanga na Azam. Kazi yao kuendeleza vipaji na timu kubwa zinawachukua. Yondani, Tambwe na sasa Kessy.
Kocha Mayanja kakiri ubora wa vikosi vya Yanga na Azam. Hata mchezaji au wachezaji wakiumia kuna subs wa viwanjo sawa na aliyeumia.
Kama Yanga inaendeshwa kwa hela za Manji, kwa nini msimpe timu Mo Dewji?