Simba itaimarika lini? Leo Kessy anatinga uzi wa Yanga

...Swali zuri kabisa,km Yanga inaendeshwa kwa hela za Manji kwanini timu asipewe Dewji?!
Sababu viongozi wa Simba ni matapeli wapiga dili.

Ndiyo MO Dewj ameshapewa sasa na Manyani yanaendelea kupata tabu 🐒🐒🐸🐸
 
Utopolo wana kidomodomo sana...

Tuendelee kufukua makaburi...
 
Simba iliwahi kufanya yote hayo na haikuchukua ubingwa wowote wa Africa.

Sio sahihi kulinganisha Yanga au Simba na TP Mazembe. Mfano wa TP Mazembe Tanzania ni Azam. Manji ni kiongozi wa kuchaguliwa Yanga sio mmiliki wa club kama Katumbi. Note the difference.

Kessy kwenda Yanga inadhilihisha kwamba Simba kwa sasa ni feeder club kwa Yanga na Azam. Kazi yao kuendeleza vipaji na timu kubwa zinawachukua. Yondani, Tambwe na sasa Kessy.

Kocha Mayanja kakiri ubora wa vikosi vya Yanga na Azam. Hata mchezaji au wachezaji wakiumia kuna subs wa viwanjo sawa na aliyeumia.

Kama Yanga inaendeshwa kwa hela za Manji, kwa nini msimpe timu Mo Dewji?
Sibonike Wanamsimbazi tunashukuru sana kwa Mtizamo wako wa 2016 aya ya mwisho hapo, leo matunda tunayaona Mzee wa Utopolo umebaki kuugulia maumivu tu.
 
Kweli timu mmempa Mo. Huku Yanga Manji hayupo. Wadaawa kamilisheni mchakato
 
Mashabiki wa simba mna roho mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba iliwahi kufanya yote hayo na haikuchukua ubingwa wowote wa Africa.

Sio sahihi kulinganisha Yanga au Simba na TP Mazembe. Mfano wa TP Mazembe Tanzania ni Azam. Manji ni kiongozi wa kuchaguliwa Yanga sio mmiliki wa club kama Katumbi. Note the difference.

Kessy kwenda Yanga inadhilihisha kwamba Simba kwa sasa ni feeder club kwa Yanga na Azam. Kazi yao kuendeleza vipaji na timu kubwa zinawachukua. Yondani, Tambwe na sasa Kessy.

Kocha Mayanja kakiri ubora wa vikosi vya Yanga na Azam. Hata mchezaji au wachezaji wakiumia kuna subs wa viwanjo sawa na aliyeumia.

Kama Yanga inaendeshwa kwa hela za Manji, kwa nini msimpe timu Mo Dewji?
Tumeshampa tayari..
 
Lengo ni kuwaonyesha kuwa, mashabiki wa Simba Sc tunapowabeza nyinyi Yanga tuko sahihi kwa 100%. Mlikuwa mnatamba sana mtani[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbaya zaidi sisi tumetoboa mpaka kimataifa tofauti na wao hata makundi tu ilikuwa mtiani pamoja na kujifanya bora kipindi kile.
 
Kumbe ulijua kuwa Morrison atahama Uto ili aje Simba kupanda Ndege baada ya kuchoka na safari za Mabasi za Ifakara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji1787]
Hahahah!!! Maisha yanaenda kasi sana.
 
Hawa kenge walitutesa sana yaan mm kuanzia mwaka 2013 hadi 2017 nilikuwa nimekata tamaa ya kusikiliza mpira wa bongo nakumbuka ile mechi ya uto mpk half time wanaongoza 3 bila nilikimbia sikuendelea ile mechi sitoisahau nilirud niliposikia 2 zimerudi sasa zamu yao na sisi kutamba hawa uto miaka hii watatukoma
 
Kazi wanayo. Walitusumbua sana enzi zile.
 
...Swali zuri kabisa,km Yanga inaendeshwa kwa hela za Manji kwanini timu asipewe Dewji?!
Sababu viongozi wa Simba ni matapeli wapiga dili.
Kapewa sasa nadhani umeona tofauti ya manji na dewji
 
Back
Top Bottom