Simba itaimarika lini? Leo Kessy anatinga uzi wa Yanga

Mkuu, tukumbushane kidogo[emoji28].
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona umemfukulia kaburi, mambo yamegeuka, kilichokuwa huku kimeenda kule, and vice-versa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona umemfukulia kaburi, mambo yamegeuka, kilichokuwa huku kimeenda kule, and vice-versa [emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa wanatamba sana Hawa utopolo, ukipitia huu uzi utagundua kwamba kumbe Wanasimba tunahaki ya kuwatania na kuwazogoa wanayanga kwakadri tuwezavyo. Walikuwa na maneno ya shombo sana hawa.
 
Bado upo hai?
 
4.Kuifananisha Yanga au Simba na Mazembe,Esperance, Al Ahly ni sawa na kuifananisha Taifa Stars na Timu za Taifa za Kongo,Misri na Tunisia naamini jibu unalo
Hebu uje urudie tena! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
So Leo Simba imeizidi Ahly,Mazembe na Esperance ?
Hoja yako ilikuwa 'kuifananisha', na sio 'kuizidi'. Hii hapa:

4.Kuifananisha Yanga au Simba na Mazembe,Esperance,Al Ahly ni sawa na kuifananisha Taifa Stars na Timu za Taifa za Kongo,Misri na Tunisia naamini jibu unalo

Kwa kuwa ni kuifananisha, nasema kwa Simba nisawa kabisa bila shaka, ila Yanga itoe kabisa
 
Hoja yako ilikuwa 'kuifananisha', na sio 'kuizidi'. Hii hapa:



Kwa kuwa ni kuifananisha, nasema kwa Simba nisawa kabisa bila shaka, ila Yanga itoe kabisa
Ahly bingwa mara 9
TP Mazembe bingwa mara 5
Esperance bingwa mara 4
Simba bingwa mara 0

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona umemfukulia kaburi, mambo yamegeuka, kilichokuwa huku kimeenda kule, and vice-versa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuimba ni kupokezana
 
Ahly bingwa mara 9
TP Mazembe bingwa mara 5
Esperance bingwa mara 4
Simba bingwa mara 0

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Ahaa, kumbe unaangalia historia kama mlivyozoea jiografia! Ujue tunazungumzia wakati uliopo. Ukitaka kuzungumzia yaliyopita, zipo timu kama Hafia Conacry ya Guinea zilizochukua ubingwa wa Klabu Bingwa CAF karne iliyopita, lakini sasa hivi zimepotea hata Namungo ina nafuu. Sasa hiyo huwezi kuiweka juu ya timu iliyo iliyo on fire kwa sasa
 
Kila siku mnaongeaga hivi hivi mtaendelea kuwa wa Matopeni nyie wa Hapa Hapa fc.

Dah! Kweli maisha yanakwenda kasi sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani Uto walikuwa na jeuri ya kufa Mtu 🐸🐸

Eti Wamatopeni
Eti Wa Hapahapa 🀣🀣

Kila kitu kimegeuka
 
Sasahivi kilichobaki tutawanunua kaburu na hanspope ili waache kuwavuruga atleast misimu ijayo mpande ndege

Msimu ujao ulitaka Wapande Ndege sio? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulimcheka mamba 🀣🀣🐸🐸
 
Wamatopeni bwana, yaani kwa akili yako mchezaji mwenye akili zake timamu atakaa mwaka mzima hajapanda ndege halafu asitake kuhama?

Kumbe ulijua kuwa Morrison atahama Uto ili aje Simba kupanda Ndege baada ya kuchoka na safari za Mabasi za Ifakara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸ€£
 
walikataa kumpa mo kisa waliona wale frnds of simba, na wale wanakula kodi za jengo la simba hawatafaidi.. kwa sasa wajipange upya au wabadili mchezo maana ipo mingi, na sindimba ikiwemo huko watashinda..

simba asanteni kwa kushiriki

Baada ya Mwakalebela kutishia kuwa Uto watajitoa kwenye Lege mapendekezo yaliyopo ni kuwa Mchezo wa REDE ndiyo unaowafaa zaidi kujiunga nao. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…