astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Saev wanaomba kupiga nae picha[emoji3][emoji3]Walikuwa hawajui maana ya Underdog saivi Shafih Dauda wanamuelewa vizuri kabisa
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya kushinda njaa au?!Mechi ya Simba vs Al Ahyl, simba ana asilimia kubwa ya kushinda. Vinginevyo itakuwa sare, ila Simba hatofungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Al Ahly sio Mbabane au Nkana. Haya mazoea ndo yanafanya kocha aonekane mbaya.
Fainali hamuitaki tena ili mkacheze na Barcelona,Man City na Real Madrid?Jambo la msingi ni kutimia kwa lengo LA kufika hatua ya makundi hayo mengine ni ziada tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu kataja Yanga hapo?huu ni msalaba wenu enyi Mambumbumbu msijipooze kwa YangaMara ya mwisho Yanga kufika group stage ilimaliza na points ngapi? Nijibu tuendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu kataja Yanga hapo?huu ni msalaba wenu enyi Mambumbumbu msijipooze kwa Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app