Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa
Vipi mkuu itakuwaje tena ulisema wataishia pointi 3 utadhani unacheza weweSimba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEUMBUKA, ROHO MBAYA IMEKUPONZA, USO MWEMBAMBA KWA AIBUSimba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Underdog wanapoint sitaWalikuwa hawajui maana ya Underdog saivi Shafih Dauda wanamuelewa vizuri kabisa
Mkuu we ni nabiiMechi ya Simba vs Al Ahyl, simba ana asilimia kubwa ya kushinda. Vinginevyo itakuwa sare, ila Simba hatofungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Al Ahly sio Mbabane au Nkana. Haya mazoea ndo yanafanya kocha aonekane mbaya.
Haaahaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kaka Al Ahly sio Mbabane au Nkana. Haya mazoea ndo yanafanya kocha aonekane mbaya.
Kuna sehemu kataja Yanga hapo?huu ni msalaba wenu enyi Mambumbumbu msijipooze kwa Yanga