Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wametupia nyingine tatu.Sasa unatabiri lipi tena mwanga wewe.
 
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Grrrrrrhhhhh!
Screenshot_20190212-193239_Instagram~2.jpeg

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na Shafiii Dauda mna Amberruttiwa manina zenu
 
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ULIKO kama nakuona UMEPIGA MKAO WA 4 NA SIFURI UMEIKALIA,,,,,ramli na MPIRA ni vitu viwili tofauti.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Al Ahly wana uhakika asilimia mia nane wa kuchukua point sita kwa Simba" By Shafih Dauda
 
Back
Top Bottom