Mechi ya Simba vs Al Ahyl, simba ana asilimia kubwa ya kushinda. Vinginevyo itakuwa sare, ila Simba hatofungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kumbe mpira unachezwa mdomoni piaChuchunge fc mpira hauchezwi mdomoni
Wametupia nyingine tatu.Sasa unatabiri lipi tena mwanga wewe.Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini Simba wakashinda njaa? Njaa wanashinda vyura, maji yamekauka bwawaniAsilimia kubwa ya kushinda njaa au?!
Hawa Mikia aka Underdog FC watapata tabu sana.
Yeah, Simba ni underdog, atamaliza na point tatu tu 😀😀😀Saizi tafsri ya underdog imeeleweka vizuri
Nakupa hi tu lakiniKaka Al Ahly sio Mbabane au Nkana. Haya mazoea ndo yanafanya kocha aonekane mbaya.
Grrrrrrhhhhh!Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena!Kaka Al Ahly sio Mbabane au Nkana. Haya mazoea ndo yanafanya kocha aonekane mbaya.
Wewe na Shafiii Dauda mna Amberruttiwa manina zenuSimba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ULIKO kama nakuona UMEPIGA MKAO WA 4 NA SIFURI UMEIKALIA,,,,,ramli na MPIRA ni vitu viwili tofauti.....Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haa, hawezi kukujibu mkuuHuko ULIKO kama nakuona UMEPIGA MKAO WA 4 NA SIFURI UMEIKALIA,,,,,ramli na MPIRA ni vitu viwili tofauti.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nafahamu kuwa wewe kila kitu ni KIJANI NA NJANO!Nyie watu leo mmeshushuliwa.