Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

Kuna Shabiki wa Yanga damu alikuwa anaangalia mpira kwa kweeli kwa mpira wa leo simba vs azam daah, Jamaa kakiri Simba ni level nyingine+Jamaa wa najua mpira.
This is SIMBA
Tulia ulambe dawa
Azam wamenyanyasika kwa kweli duh! siyo kwa mpira ule
 
Kuna Shabiki wa Yanga damu alikuwa anaangalia mpira kwa kweeli kwa mpira wa leo simba vs azam daah, Jamaa kakiri Simba ni level nyingine+Jamaa wa najua mpira.
This is SIMBA
Tulia ulambe dawa
Tako moko fc aka pigwa bomba fc.
 
Tako moko fc aka pigwa bomba fc.
Tuweke kumbukumbu sawa
2438422_FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Kuna Shabiki wa Yanga damu alikuwa anaangalia mpira kwa kweeli kwa mpira wa leo simba vs azam daah, Jamaa kakiri Simba ni level nyingine+Jamaa wa najua mpira.
This is SIMBA
Tulia ulambe dawa
Huyo jamaa ni boga kama we, hajui lolote..
Hebu tuwaoneshe 11 july.
Kwanza ile Tabia yenu ya kong'oa viti bado mnayo.?
 
Sijui kwanini Simba huwa ni kibonde kwa Yanga.
 
Sijui kwanini Simba huwa ni kibonde kwa Yanga.
Nini maana ya kibonde?, Hivi kwa miaka minne iliyopita Nani kamfunga mwenzake mara nyingi?, kumbu kumbu zangu zinaonyesha Yanga kamfunga Simba mara moja tu, lakini Yanga kafungwa mara 5.
 
Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivipunde.

Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare!

Kila mara huwa nawaambia watani zangu Simba kuwa Yanga aweza kuwa kibonde kwa wote lakini si kwa Simba. Hadi hapo, Yanga tumeshajihakikishia mashindano ya kimataifa.

Subirini muone mbungi!
Tulikwambia
Uzuri thread ni yako.
Haya karibu tujadili.
 
Sio kila siku ni sikukuu mkuu,mlivyobahatisha siku ile msidhani itajitudia tena,siku hiyo tunawabaka kabisa sio kuwafunga tu,ni suala la muda tu,ila ukweli wa nani mkali utajidhihirisha siku hiyo,na ndio siku tutakayosheherekea rasmi ubingwa wetu wa mara ya 3 mfululizo.
You were right.
 
Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde.

Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare!

Kila mara huwa nawaambia watani zangu Simba kuwa Yanga aweza kuwa kibonde kwa wote lakini si kwa Simba. Hadi hapo, Yanga tumeshajihakikishia mashindano ya kimataifa.

Subirini muone mbungi!
Hebu rudia tena
IMG-20200712-WA0077.jpg
 
Back
Top Bottom