version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Lefa katimiza maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ndio Refa wa Simba wa mechi za Mikoani, Anaitwa Mdoe wa Tanga.Lefa katimiza maelekezo
Yule ndio Refa wa Simba wa mechi za Mikoani, Anaitwa Mdoe wa Tanga.
Alianza na Dodoma JiJi dhidi ya Simba Leo alikua kati Mashujaa dhidi ya Simba. Ni refa wa Simba katika mechi za ki mkakati.
Yupo kimkakati zaidi halafu timu zingine zizipo lalamika kuhusu trend za marefa wanaochezesha mechi za simba hakika itwagharimu maana makosa ya kibinadamu.kwenye mechi za simba ni mengi na yote yanamnufaisha simba.Yule ndio Refa wa Simba wa mechi za Mikoani, Anaitwa Mdoe wa Tanga.
Alianza na Dodoma JiJi dhidi ya Simba Leo alikua kati Mashujaa dhidi ya Simba.
Leo lefa amefanya kosa gani?Yupo kimkakati zaidi halafu timu zingine zizipo lalamika kuhusu trend za marefa wanaochezesha mechi za simba hakika itwagharimu maana makosa ya kibinadamu.kwenye mechi za simba ni mengi na yote yanamnufaisha simba.
Simba at Draw Leo na Mashujaa.
Tekeleza ahadi yako sasa ya 071Wenzako huwa wanasindikiza unabii wao na ahadi, kwamba wasipotoka sare uliwe GotI
Umeyaonamatokeo?Habari.
Sina Mda kuanza kutoa takwimu Mara kuchambua Mchezo wa Leo Ili kuthibitisha hio heading ya Uzi.
Ila hizi ni hisia zangu tu..Narudia hizi ni Hisia Zangu sio kimbinu wala Nini!
Simba at Draw Leo na Mashujaa.
Good morning 🇵🇹
Wacha weeh! Kwahiyo hapo ulipo unajisikiaje?😀Sio droo tuu bali anakufa
na huyu naye anajiita ana familia 😂😂😂Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141415
Goli lilifungwa dakika ya 96+Ilikua draw ila refa mpumbavu sana
Sisi ndiyo Simba SC AKA;na huyu naye anajiita ana familia 😂😂😂