Si unasikiaga kale kamsemo cha mashabiki maandazi? Basi wewe ni shabiki maandazi.
Hiyo kasi waliificha wapi walipocheza Egypt na Algeria?Wakuu,
Nashauri timu yetu ya Simba ijiandae kimkakati na kiufundi dhidi ya kasi ya ajabu watakayo kuja nayo As Vita, Simba waepuke kabisa kisababisha faulo kwenye 18 au kona.Manula ajiandae na mashuti ya mbali.
Yes we can.......
Alishaibariki tangu match ya kwanza Congo,kinachofuata ni mwendelezo wa Baraka za kuwakata Mikia
Hatujawahi na wala hatutategemea hisani ya Mikia kushiriki Champions League.Si unasikiaga kale kamsemo cha mashabiki maandazi? Basi wewe ni shabiki maandazi.
.
Ombea Simba apite, ili yanga yako ipate nafasi next season la sivyo mtapauka sana kama ilivyokuwa sisi enzi za Baba diva malinzi
Haya mtani chura, kumbuka hili na utairejerea hii comments msimu utakavyomalizika amjabeba kikombe chochote.Hatujawahi na wala hatutategemea hisani ya Mikia kushiriki Champions League.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno yenu ya kujifariji ambayo hayatabadilisha ukweli wa nyie kuchapwa na AS Vita.Haya mtani chura, kumbuka hili na utairejerea hii comments msimu utakavyomalizika amjabeba kikombe chochote.
Tuongee kimpira..Tambwe,,Ngoma,Kamusoko,Chirwa,Niyonzima,Msuva,Bossou,Canavarro,Yondani,Twite,Mnyamani wote wako form mbaya unamsingizia Malinzi..Yanga haina hela ya kusajili African Class..Ole wenu ipatikane billions 2 Mcongo afanye usajili..Msomali atajificha..Na tutafanikiwaSi unasikiaga kale kamsemo cha mashabiki maandazi? Basi wewe ni shabiki maandazi.
.
Ombea Simba apite, ili yanga yako ipate nafasi next season la sivyo mtapauka sana kama ilivyokuwa sisi enzi za Baba diva malinzi
Pengine naweza kuwa sijaelewa lakini, katika hao wachezaji uliowataja ni Tambwe, Kamusoko, na yondani tu ambao bado wako yanga.Tuongee kimpira..Tambwe,,Ngoma,Kamusoko,Chirwa,Niyonzima,Msuva,Bossou,Canavarro,Yondani,Twite,Mnyamani wote wako form mbaya unamsingizia Malinzi..Yanga haina hela ya kusajili African Class..Ole wenu ipatikane billions 2 Mcongo afanye usajili..Msomali atajificha..Na tutafanikiwa
Yaani ni bora tusishiriki Michuano ya nje kuliko hisani ya hawa mdomo kunuka wa Manara.Hatujawahi na wala hatutategemea hisani ya Mikia kushiriki Champions League.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sielewi bado..Malinzi alikuwa anafunga magoli??au Yanga walikuwa wanafunga magoli ya vipi??Kuingia makundi inategemea Na timu ulizokutana Nazo...Mbabane Na Nkana sio timu za kiwango cha juu...Nkana kwenye ligi ya Zambia miaka 17 kachukua ubingwa Mara moja....Yanga toka 2006 mpaka Leo ndio timu iliyochukua ubingwa Mara nyingi..Malinzi kaongoza TFF miaka 4 tu....As Vita wameingia nchini kimya kimya mkitolewa jmosi mgogoro lazima utaibuka Kanji atataka hela zake watu wamepiga....Okwi alitakiwa South Africa mshahara $15,000..Kanji akakataa kumuuza akamuaidi atampa fungu wajanja wamekula..Okwi anataka hela yake...Pengine naweza kuwa sijaelewa lakini, katika hao wachezaji uliowataja ni Tambwe, Kamusoko, na yondani tu ambao bado wako yanga.
.
Malizi alikuwa anafanya kila awezalo yanga awe bingwa na kwakweli alifanikiwa, sasa huyo mkongo zahera hana lolote wala hafiki hata robo ya mafanikio ya Patrick, nini sasa kinamsaidia zahera kuwa pale alipo sasa? Ni kufaulu kwake kuwamudu wachezaji kiakili, wachezaji wanajitoa, wanajituma n.k
.
Lakini kiuhalisia Ikitokea Simba ipo kwenye moto na yanga yupo kwenye moto yanga hatoki kwa mnyama Simba inaspirit ya kinyama sana.
Itakuwa aibu kwa chama la Wananchi .Hatujawahi na wala hatutategemea hisani ya Mikia kushiriki Champions League.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi simba kufungwaNaona msemaji umekimbilia huku baada ya kuona siku zinasogea na timu ndo imetua jana kutoka Dubai. Mjitahidi kupunguza tu magori ila kipigo ni imkwepable.
Barafu la moto