Simba jiandaeni na kasi ya ajabu ya As Vita.

Simba jiandaeni na kasi ya ajabu ya As Vita.

Sielewi bado..Malinzi alikuwa anafunga magoli??au Yanga walikuwa wanafunga magoli ya vipi??Kuingia makundi inategemea Na timu ulizokutana Nazo...Mbabane Na Nkana sio timu za kiwango cha juu...Nkana kwenye ligi ya Zambia miaka 17 kachukua ubingwa Mara moja....Yanga toka 2006 mpaka Leo ndio timu iliyochukua ubingwa Mara nyingi..Malinzi kaongoza TFF miaka 4 tu....As Vita wameingia nchini kimya kimya mkitolewa jmosi mgogoro lazima utaibuka Kanji atataka hela zake watu wamepiga....Okwi alitakiwa South Africa mshahara $15,000..Kanji akakataa kumuuza akamuaidi atampa fungu wajanja wamekula..Okwi anataka hela yake...
Township rollas au Makirikiri ndio kiwango cha juu sio?
Rayor sport na Gor mahia ndio wakuwazuia mshike mkia shirikisho?.
Simba ni wabovu hadi kwa Yanga miaka 3 fulululizo anasaka droo?..
Shika adabu
 
Yaani ni bora tusishiriki Michuano ya nje kuliko hisani ya hawa mdomo kunuka wa Manara.
Wakishinda ni faida yao, wasiseme ooh Yanga atapata nafasi, hatutaki, wafungwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikitokea ikawa .. Mumpishe Azam aende klabu bingwa.
Zahera ana akili kuliko nyie mashabiki chapati
 
Tuongee kimpira..Tambwe,,Ngoma,Kamusoko,Chirwa,Niyonzima,Msuva,Bossou,Canavarro,Yondani,Twite,Mnyamani wote wako form mbaya unamsingizia Malinzi..Yanga haina hela ya kusajili African Class..Ole wenu ipatikane billions 2 Mcongo afanye usajili..Msomali atajificha..Na tutafanikiwa
Hawa uliowataja wamewahi kuifikisha yanga hatua gani kubwa kuliko hii aliyopo Simba?
 
As Vita hawezi kua na speed kama mechi ya mwanzo, lazima acheze kwa tahadhali,
Kila la kheri Simba ili tuongeze timu, ila ukifungwa sawa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom