Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Alishindwa kuwabariki yanga ambao ni omba omba unafikiri ataweza kuwabariki wa kongo?
Sent using unknown device
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishindwa kuwabariki yanga ambao ni omba omba unafikiri ataweza kuwabariki wa kongo?
Yaani wakina akudo watufunge sis reallyi?wacheza sebene kuishugulikia simba vilivyo, siku hiyo ni chereko chereko kwa wanachi woteee
Tuliificha ili tuitumie kwenye mechi ya As vita jumamosHiyo kasi waliificha wapi walipocheza Egypt na Algeria?
Daaah hivi huwa mnapata nini kumuombea dua mbaya simba?Alishaibariki tangu match ya kwanza Congo,kinachofuata ni mwendelezo wa Baraka za kuwakata Mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafa muarabu sembuse hawa wakina akudoHayo ni maneno yenu ya kujifariji ambayo hayatabadilisha ukweli wa nyie kuchapwa na AS Vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikujibu nistue brotherHiyo kasi waliificha wapi walipocheza Egypt na Algeria?
Hizi nguvu mngekua mnaiombea Yanga Basi manji angekua kasharudiMpigwe golì nyingi sanaaaaaa
Kila lakheri As Vita
Nasema hivi kila lakheri As Vita. Tena wäjè wachezaji na benchi la ufundi tu mashabiki watatukuta kwa mchina na jezi zetu za kijani
Yaani nawashangaa sana Vyura badala waiunge mkono Simba au wakae kimya kila siku kushoboka na kila timu inayokuja kucheza na Simba ilihali Simba akifanikiwa na wao wanafaidika wamejaa uswahili mtupu YangaSi unasikiaga kale kamsemo cha mashabiki maandazi? Basi wewe ni shabiki maandazi.
.
Ombea Simba apite, ili yanga yako ipate nafasi next season la sivyo mtapauka sana kama ilivyokuwa sisi enzi za Baba diva malinzi
Mechi yenu na Simba hamkuenda sembuse iyo....iwe jua iwe mvua,goli la mkono,penati, batalokota benyewe kunyavuNasema hivi kila lakheri As Vita. Tena wäjè wachezaji na benchi la ufundi tu mashabiki watatukuta kwa mchina na jezi zetu za kijani
Hakika bamutu batalokota benyewe kunyavu in Makusu's voiceMechi yenu na Simba hamkuenda sembuse iyo....iwe jua iwe mvua,goli la mkono,penati, batalokota benyewe kunyavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mbumbumbu fc itaonekana.Hiyo kasi waliificha wapi walipocheza Egypt na Algeria?
Wewe kama shabiki wa yanga,tambua haya Malinzi ni shabiki mkubwa sana wa yanga na kumbuka wakati ule yanga ilikuwa na sponsorship ya maana kutoka kwa muhindi, sasa kilichokuwa kikifanyika ni kuwafanya referees kuwa side ya yanga kivyovyote ndio maana misimu mitatu yote chini ya utawala wake simba ataongoza weee mwishoni hawi bingwa!Sielewi bado..Malinzi alikuwa anafunga magoli??au Yanga walikuwa wanafunga magoli ya vipi??Kuingia makundi inategemea Na timu ulizokutana Nazo...Mbabane Na Nkana sio timu za kiwango cha juu...Nkana kwenye ligi ya Zambia miaka 17 kachukua ubingwa Mara moja....Yanga toka 2006 mpaka Leo ndio timu iliyochukua ubingwa Mara nyingi..Malinzi kaongoza TFF miaka 4 tu....As Vita wameingia nchini kimya kimya mkitolewa jmosi mgogoro lazima utaibuka Kanji atataka hela zake watu wamepiga....Okwi alitakiwa South Africa mshahara $15,000..Kanji akakataa kumuuza akamuaidi atampa fungu wajanja wamekula..Okwi anataka hela yake...