Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen
Township rollas au Makirikiri ndio kiwango cha juu sio?Sielewi bado..Malinzi alikuwa anafunga magoli??au Yanga walikuwa wanafunga magoli ya vipi??Kuingia makundi inategemea Na timu ulizokutana Nazo...Mbabane Na Nkana sio timu za kiwango cha juu...Nkana kwenye ligi ya Zambia miaka 17 kachukua ubingwa Mara moja....Yanga toka 2006 mpaka Leo ndio timu iliyochukua ubingwa Mara nyingi..Malinzi kaongoza TFF miaka 4 tu....As Vita wameingia nchini kimya kimya mkitolewa jmosi mgogoro lazima utaibuka Kanji atataka hela zake watu wamepiga....Okwi alitakiwa South Africa mshahara $15,000..Kanji akakataa kumuuza akamuaidi atampa fungu wajanja wamekula..Okwi anataka hela yake...
Na ikitokea ikawa .. Mumpishe Azam aende klabu bingwa.Yaani ni bora tusishiriki Michuano ya nje kuliko hisani ya hawa mdomo kunuka wa Manara.
Wakishinda ni faida yao, wasiseme ooh Yanga atapata nafasi, hatutaki, wafungwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa uliowataja wamewahi kuifikisha yanga hatua gani kubwa kuliko hii aliyopo Simba?Tuongee kimpira..Tambwe,,Ngoma,Kamusoko,Chirwa,Niyonzima,Msuva,Bossou,Canavarro,Yondani,Twite,Mnyamani wote wako form mbaya unamsingizia Malinzi..Yanga haina hela ya kusajili African Class..Ole wenu ipatikane billions 2 Mcongo afanye usajili..Msomali atajificha..Na tutafanikiwa
Naomba tuvuke.. ili nafasi yenu mumuachie Azam tuone kama Zahera atakubaliHatujawahi na wala hatutategemea hisani ya Mikia kushiriki Champions League.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ndoto,labda mtavuka mtoNaomba tuvuke.. ili nafasi yenu mumuachie Azam tuone kama Zahera atakubali
Mkuu hiyo ni ndoto,hawana nafasi ya kwenda kokoteYaani ni bora tusishiriki Michuano ya nje kuliko hisani ya hawa mdomo kunuka wa Manara.
Wakishinda ni faida yao, wasiseme ooh Yanga atapata nafasi, hatutaki, wafungwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo point 6 tulizitoa mtoni mkuu?... au tulinunua kama mnavyosemagaAcha ndoto,labda mtavuka mto
Yanga amepitisha goli ngapi kwenye hao pazia?Na ukizingatia huku back four ni pazia
+255Yanga amepitisha goli ngapi kwenye hao pazia?
Mtakufa buree kwa wivu
Mtani mtabaki mifupa tu Simba tuko CCL+255
Hii kesi lini mkuuAlishaibariki tangu match ya kwanza Congo,kinachofuata ni mwendelezo wa Baraka za kuwakata Mikia
Sent using Jamii Forums mobile app