Simba jiandaeni na kasi ya ajabu ya As Vita.

Si unasikiaga kale kamsemo cha mashabiki maandazi? Basi wewe ni shabiki maandazi.
.
Ombea Simba apite, ili yanga yako ipate nafasi next season la sivyo mtapauka sana kama ilivyokuwa sisi enzi za Baba diva malinzi
Yaani nawashangaa sana Vyura badala waiunge mkono Simba au wakae kimya kila siku kushoboka na kila timu inayokuja kucheza na Simba ilihali Simba akifanikiwa na wao wanafaidika wamejaa uswahili mtupu Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata refa awe manara line one awe kalia na line two mo dewji simba anakufa tu
 
Wewe kama shabiki wa yanga,tambua haya Malinzi ni shabiki mkubwa sana wa yanga na kumbuka wakati ule yanga ilikuwa na sponsorship ya maana kutoka kwa muhindi, sasa kilichokuwa kikifanyika ni kuwafanya referees kuwa side ya yanga kivyovyote ndio maana misimu mitatu yote chini ya utawala wake simba ataongoza weee mwishoni hawi bingwa!
.
Sasa ukipenda vya kubinya penda na vya kukamua.
As vita wamekuja kimya kimya kwako wewe, sheria za CAF zinaitaka timu mwenyeji kumuhudumia mgeni kuanzia kwenye usafiri wa ndani ya nchi kama mabasi n.k, AS vita wamekuja bongo Simba ikiwa inafahamu na wao ndiyo wenyeweji wao na watasaidia kila kitu wakishirikiana na TFF.
.
Hapa siyo Congo kusema wametoka Kinshasa kwenda Goma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…