Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Hii haituhusu mtajuana nyie wenyewe
 
Mkuu mbona kwenye bandiko lako umetaja Tanganyika?
 
Kuna litangazaji moja la redio maarufu lilihojiwa likasema simba itafungwa magoli mengi, matokeo yake ikatoka mbili kwa mbili. Kipindi cha michezo cha redio hiyo kimewadia saa tatu hii usiku na yeye ndiye mtangazaji wa kipindi hicho wa zamu, sijui anajisikiaje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu kuna hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikia ifeke mahala mkue!!

🤣🤣🤣🤣
 
Ndio tumecheza mpira mzuri usio na malengo makubwa Robertinho hatufai kabisa, kaniudhi nashindwa hadi kula, kipa Bomu anadaka panzi fala yule
 
Dua la kuku [emoji23].. Chui kwenye ngozi ya kondoo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sio Shabiki Anayetumia mahaba Kujudge Mechi mi naangalia Vitu vingi sana kimojawapo ni Aina ya wachezaji na Playing style,

Kiufupi Tu Simba wamejitahidi sana leo ila hilo Haliondoi ukweli kwamba Al ahly wanajulikana vizuri wakiwa uwanja wa Nyumbani jinsi wanavyokuaga,

Msema kweli mpenzi wa Mungu Simba wanaishia Kwata Faino
 
Much congratulations on Simba Sports Club.
The giant of Tanzanie football.

Simba tunamwaga slangs halisi ya Mama Eliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…