Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Hii haituhusu mtajuana nyie wenyewe
 
Mkuu mbona kwenye bandiko lako umetaja Tanganyika?
Maadui wa mnyama SIMBA hasa baadhi ya wanayanga wasiojitambua waliomba dua zote SIMBA ifungwe
Wakafanya kila aina ya fitina mpaka majungu na masufuria bila kusahau ulozi...
Moira una matokeo matatu
Kufunga
Kufungwa
Suluhu
Asanteni sana wachezaji wote
Asanteni sana makocha wote
Asanteni sana viongozi wote
Asanteni sana wanasimba wote
Asanteni wote wenye mapenzi mema na SIMBA, marafiki na jamaa pia

Asanteni maadui.. Sijui m hali gani saa huko mliko.. Naona mmeamua kujifariji na chumbuzi za kindezi.. Nawasihi msiache .. Sisi letu limeshatimia

Gooooood night Tanganyika[emoji173][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]View attachment 2787555

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halo ya juu
20230601_215742.jpg
 
Kuna litangazaji moja la redio maarufu lilihojiwa likasema simba itafungwa magoli mengi, matokeo yake ikatoka mbili kwa mbili. Kipindi cha michezo cha redio hiyo kimewadia saa tatu hii usiku na yeye ndiye mtangazaji wa kipindi hicho wa zamu, sijui anajisikiaje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu kuna hili
JamiiForums-1491104409.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadui wa mnyama SIMBA hasa baadhi ya wanayanga wasiojitambua waliomba dua zote SIMBA ifungwe
Wakafanya kila aina ya fitina mpaka majungu na masufuria bila kusahau ulozi...
Moira una matokeo matatu
Kufunga
Kufungwa
Suluhu
Asanteni sana wachezaji wote
Asanteni sana makocha wote
Asanteni sana viongozi wote
Asanteni sana wanasimba wote
Asanteni wote wenye mapenzi mema na SIMBA, marafiki na jamaa pia

Asanteni maadui.. Sijui m hali gani saa huko mliko.. Naona mmeamua kujifariji na chumbuzi za kindezi.. Nawasihi msiache .. Sisi letu limeshatimia

Gooooood night Tanganyika[emoji173][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]View attachment 2787555

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tumecheza mpira mzuri usio na malengo makubwa Robertinho hatufai kabisa, kaniudhi nashindwa hadi kula, kipa Bomu anadaka panzi fala yule
 
Dua la kuku [emoji23].. Chui kwenye ngozi ya kondoo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sio Shabiki Anayetumia mahaba Kujudge Mechi mi naangalia Vitu vingi sana kimojawapo ni Aina ya wachezaji na Playing style,

Kiufupi Tu Simba wamejitahidi sana leo ila hilo Haliondoi ukweli kwamba Al ahly wanajulikana vizuri wakiwa uwanja wa Nyumbani jinsi wanavyokuaga,

Msema kweli mpenzi wa Mungu Simba wanaishia Kwata Faino
 
Much congratulations on Simba Sports Club.
The giant of Tanzanie football.

Simba tunamwaga slangs halisi ya Mama Eliza.
 
Back
Top Bottom